incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao wa Tikto, lakini nilichokuja kugundua ni kwamba vifo vya watu waliojipatia umaarufu kwa mtandao huu huwa ni vifo vyenye ushabiliano flani, Yaani huwa wanakufa vifo vya kushtukiza na kushangaza.
Vifo ambavyo huzua hofu naTaharuki na Simanzi kwa wafuasi wao. Mfano Mzuri ni kifo cha Kijana maarufu Nchini Kenya kwa Jina la BRIAN CHIRA, Aliefariki leo asubuhj kwa ajali.
Lakini pia Watanzania tukumbuke mwaka jana tulimzika kijana aliekuwa maarufu kupitia mtandao huohuo ambae kabla ya kifo chake alijitabiria kifo.