Fulema Nangwa
Member
- Jul 27, 2017
- 79
- 46
Hospitali ya Mkapa Dodoma Rushwa imekuwa kawaida kabisa mgonjwa hawezi kupata huduma yaaina yoyote bila ya kutoa chochote. Tumempeleka mgonjwa sasa ana wiki matokeo ya vipimo hayajatoka na bado mgonjwa hajapewa huduma yoyote zaidi ya kupewa dawa za kuondoa maumivu.
Daktari anapita analeta maneno ukiuliza unaambiwa subiri utatibiwa , hivi kweli na mgonjwa umelipia huduma na kitanda ,wegonjwa ambao wapo hapo hospitali wanasema kuwa bila chochote hupati huduma hata kama umelipia maabara ili upewe majibu lazima utoe chochote. Nadhani wanafanya hivi kwa kuwa hospitali ipo nje ya mji .
Nimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante
Nimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zai
Nimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante
Hiyo ni "clue" inatosha kuanzisha investigation process. Taarifa gani zaidi unahitaji. General hospital Dodoma wanajitahidi sana kutoa huduma nzuri. Hao jamaa wa mkapa hospital ni jina tu. Serikali isogeze macho yake pale. Itaona ukweli wa malalamiko ya mama huyo na mengine. Watu bado wanafanya kazi kwa mazoea.
Dawa ni kuwaripoti TAKUKURU tena taja na jina la muhusika lakini kulalamika haisaidii kitu......Hospitali ya Mkapa Dodoma Rushwa imekuwa kawaida kabisa mgonjwa hawezi kupata huduma yaaina yoyote bila ya kutoa chochote. Tumempeleka mgonjwa sasa ana wiki matokeo ya vipimo hayajatoka na bado mgonjwa hajapewa huduma yoyote zaidi ya kupewa dawa za kuondoa maumivu.
Daktari anapita analeta maneno ukiuliza unaambiwa subiri utatibiwa , hivi kweli na mgonjwa umelipia huduma na kitanda ,wegonjwa ambao wapo hapo hospitali wanasema kuwa bila chochote hupati huduma hata kama umelipia maabara ili upewe majibu lazima utoe chochote. Nadhani wanafanya hivi kwa kuwa hospitali ipo nje ya mji .
Ila watuhumiwa usiwapeleke takukuru maana watapandishwa vyeo ghafla mpaka ushangaeNimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante
Bravo MheshimiwaNimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante
Ubarikiwe Sana Mh. kwa mwitiko wako wa haraka.Nimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante