Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
Kwani mawaziri walioenda Igunga ni wa serikali kuu au ya mitaa?Upo wapi serikali za mitaa au serikali kuu? Sisi wa mitaa tumeshamaliza mishahara ya Septemba, au unamaanisha mishahara ya Oktoba?
Watu walio olewa wanawaringia sana wenzao!!!!!! Aliyekupa wewe mume ndiye aliye mnyima yeye, sidhani kama kutokuolewa kwake yeye alipenda.
mishahara imepelekwa igunga kwenye kampeni chafu za kuhonga maulamaa... halafu rostam kagoma kuwakopesha hela za kulipa mishahara
Wakati mwingine inalazimu uishi kwa kutegemea salary. Fikiria unaamka asubuhi sana kwenda kazini, na unatoka kazini (ulikoajiriwa) jioni sana au usiku, hiyo kazi nyingine ya kukuingizia kipato utaifanya muda gani? Ukisema umuachie mtu asimamie shughuli yako nyingine, utaishia kupata presha, anaiba kweli kweli kwani naye ana njaa. Kwa masaa yetu ya kazi yalivyo na miundombinu ya barabara zetu, kuna mahali patalega tu, either kwako au ulikoajiriwa.Usiishi kwa kutegemea mshahara kijana tafuta vyanzo vya mapeneee
Mwita 25, unadanganya na kuwahadaa watu, si wafanyakzi wa serikali kuu wala serikali za mitaa waliopata mishahara, isipokuwa wanajeshi tu
Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bado?
Kwa kifupi mwezi huu watumishi wote wa umma wataanza kupata mishahara mipya. Kazini kwetu tumeshapewa hilo tangazo kuwa mishahara ni tarehe 4 oktoba. Hiki ni kitu cha kawaida kila mwaka mishahara mipya inapoaanza kulipwa huwa inachelewa , wandungu poleni habari ndiyo hiyo
Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
Kwa kifupi mwezi huu watumishi wote wa umma wataanza kupata mishahara mipya. Kazini kwetu tumeshapewa hilo tangazo kuwa mishahara ni tarehe 4 oktoba. Hiki ni kitu cha kawaida kila mwaka mishahara mipya inapoaanza kulipwa huwa inachelewa , wandungu poleni habari ndiyo hiyo
This is Crap, pesa yote mmeenda kuifanyia kampeni huko Igunga
Hatushangai kwasababu mshahara wako unaupata kupitia kwa Nape Nnauye aliyekuajiri kuleta lijisura lako humu JF. Siajabu hata mshahara wa mwezi wa Octoba 2011 ulishamaliza.Upo wapi serikali za mitaa au serikali kuu? Sisi wa mitaa tumeshamaliza mishahara ya Septemba, au unamaanisha mishahara ya Oktoba?