Serikali na Hatima ya ATCL

For general publics and my personal intrest, what are implicaton of being sacked from IATA?
 
Yeah Mwanakijiji hata mimi nimesikia wanataka kuibankruptcy na kuibadilisha jina ATTCL ili waje na jina jipya ili wapewe usajili tena na IATA, badala ya kusafisha uozo uliokuwepo kwenye shirika wao wanataka kutumia usanii kujisajili upya.
 
- Tanzania bwana, mimi nakumbuka zamani Mustafa Nyanga'nyi akisoma habari katika kipindi cha mbiu ya mikoa Radio Tanzania kutoka Kondoa,

sasa eti leo anaweza kusimamia na kuendesha shirika la ndege la taifa na likawa shirika kweli na kukubalika na mataifa?

Wallahi haya maajabu ya Musa!
 
This is most embarrissing thing to ever happen to Tanzania!

Who should be accountable? is it Mattaka and Nyang'anyi alone? what about Mungai, Chenge, Mgonja, Mramba or even Mkapa?

If I were Kikwete, I will make sure the message is clearly understood this time.

There is a need to breed a nation of no nonsense workers and leaders!

We may achieve that by sacrificing alot, which may even include party ideology, Amani, Utulivu na Mshikamano!
 
Kila siku napata shida sana kukipa kijarida hiki.
Nipeni njia rahisi ya kupata kijarida hiki.
 
...good news,maana walikuwa ni kero na hatari kwa maisha ya wasafiri,naamini shirika jingine litaibuka very strong & more efficient kuliko hawa wababaishaji,sasa sijui zile pesa zetu walizonunulia ile kanyaboya kule Liberia itarudi?bunge/waziri liitishe uchunguzi wake kuwatia adabu hawa mafisadi sio lazima Raisi afanye kila kitu,na sheria za ndege lazima zibadilike ili twende mbele sio kutumia sheria za ndege wakati tukiwa wakomunisti!...lakini Mattaka lazima naye alazwe Keko maana alichofanya pale ni umafia tuu.
 

Kumbe wakati mwingine huwa una akili eeh
 
For general publics and my personal intrest, what are implicaton of being sacked from IATA?

It means your airline is not worth flying! It means it is unsecure to fly with your airline, it means that your whole aviation industry is moribund, non functioning!

This is a reflection of country's leadership. We can not even manage damn airplanes?
 

......hii kiboko yaani mzee wa mbiu za mikoa kawa CEO wa airline,hawa wazee design hii ukienda pale na elimu yako ulete utaalam wako ujue umekwisha!
 

So embarrassing! Hii kitu yote ya ATCL imenikisikisha sana!
 

Mchungaji.. hiyo inaitwa tu put things "as clearly as humanly possible".. Kwa ufupi ni kwamba ATCL sucks! Kinachoshangaza tumeiamba wimbo huu tangu Januari mwaka huu, badala yake wanatuona maadui!! Kwamba tunataka kuwaharibia kazi na kuwatimua.

Ndugu zangu tatizo la ATCL siyo fedha hata kidogo kama vile tatizo la Tanzania yenyewe siyo fedha!
 

When I told people I don't even fly ATC they said I thought I was better than everybody....Heck, it's a hell of a risk flying them....
 
......hii kiboko yaani mzee wa mbiu za mikoa kawa CEO wa airline,hawa wazee design hii ukienda pale na elimu yako ulete utaalam wako ujue umekwisha!

- Ndio maana kidogo wamuue bwana mdogo kichwa sana aliyetokea US, pale Tanzania Investment, mpaka imebidi bwana mdogo sana akimbie kazi mwenyewe bila kufukuzwa maana walikuwa kwenye dakika za mwisho mwisho kumfanyizia,

- kisa anajifanya ana akili sana kwa sababu anatumia akili zaidi kuliko uchawi, na kijana ni mgeni tu anasifiwa sifiwa na rais na hata kusafiri naye sana nje!

Yaaani weee acha tu!
 
Afadhali yametokea haya. Hawa jamaa walikuwa wanaelekea kuua abiria wao! Kila mara nilipofikiri kusafiri kwa ATC tumbo lilikuwa linakoroma!! Mataka alisema hatajiuzulu. Tuone sasa!


Ya. Kweli kabisa ndugu yangu. Yaani mimi nikishakaa kwenye seat ya ATCL, yaani mapigo ya moyo yanaharibika kabisa na naanza ku-count time to hell.....! Ikifika break ya kwanza ni kwenye bar ya karibu. Siamini.

Anyway, routes zao zingine zilikuwa hazina alternative au schedule zilikuwa tight.
 


NAKALA IKO WAPI?
Mbona siioni?
 
Another sad day for Tanzania.

So we are leasing planes that are just sitting on the runway. How much money is being lost everyday.

And nobody has been held accountable for anything. I really don't know when this country will wake up.
 
Hili ni somo kubwa - usanii wetu uishie tu ndani ya mipaka yetu na uzembe wetu hauwezi kuvumiliwa nje ya Tz. Kama kungekuwapo chombo cha kimataifa kinachosimamia usalama wa vyombo vya usafiri kama mabasi, treni, meli feri n.k. mbona ingekuwa balaa - labda tungebakiwa tu na baiskeli. Lakini mmmh! potelea mbali kama tunajifia wenyewe kwenye ajali za kila siku, who cares.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…