Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Na hapo wamepunguza mils zake, mwanzo makopo yalikuwa makubwa!! Ila Energy drink hazifai kwa matumizi, zile ziwe zinatumika kama dawa tena mara chache labda una uchovu hapo ndio ugonge ila watu wanagonga kama wanavyokunywa soda au maji.
Unajuaje kama wanakuwa na uchovu au wanahitaji wasisinzie Ili kufanya kitu fulani nk nk

Mbona mimi huwa natumia nikitaka kwa mfano kama na activities za ucku au nina uchovu mwingi na natumia kwa maelezo yaliyopo na hakuna shida yoyote.

Bora hizo energy drinks kuliko ma soda na mawanga yamewajaa mavitambi hovyo hovyo.
 
Embu fikiria tu sigara imeandikwa kabisa madhara yake. Lakini watu wanaendelea kuvuta na Watanzania wengi ni wapuuziaji wa mambo kwajiyo hata serikali ifanye vipi lakini hivyo vidude watu wataendelea kunywa tu. Na huenda vikapanda na bei.
Wivu tuu unawasumbua,kwa taarifa yako sio tu watanzania wanavinywa ila ni moja ya bidhaa ambayo Azam wameipatia maana ina soko kote East Afrika Hadi Kusini,Ukienda kwenye maduka na malls za Kenya zinatembea kama zote Hali kadhalika Zambia na mimi ni mteja wao.

Kila kitu kifanyike kwa kiasi
 
Mkuu ni kweli kabisa, na pia kuwepo udhibit wa utengenezaji bidhaa sio mtu anagoogle tuu how to make energy drink (kitu ambacho Mo a.k.a mwamed kafanya) halafu anaruhusiwa kuleta bidhaa sokoni. Yaani ukinywa Mo energy sijui ina ladha gani gata hua sielewi.
 
Nachoka ovyo, natoka jasho sana, muda mwngne mapigo ya Moto kwenda mbio. Kuna hisia flani inakuwa nayo mwili hauko sawa. Nikiacha baada ya muda inakuwa sawa. Nataka niflash mwili nione nitakuwaje.
Uko sensitive na caffeine acha kutumia utakuja kuwafia watu na pressure.Usitukie energy drink zozote unless haina hiyo constituent ya caffeine.

Hata majani ya chai usitumie maana yanakuwaga na nicotine na caffeine pia,wewe kuwa mteja wa asali na majani mengine ya kienyeji.
 
Nilikaa sehemu nikamshuhudia mtu kapiga Bia moja,akaagiza supu,bada ya supu akaagiza konyagi ndogo na Energy drink moja akawa anamix,nikajiuliza hivi mtu kama huyu kama huu ndio unywaji wake mwisho wa siku kutatokea nini?
Kwani wewe unadhani kutatokea nini? Shindiaga mawanga na sukari ndio utajua kitatokea nini Kati yako na wewe.
 
Uko sensitive na caffeine acha kutumia utakuja kuwafia watu na pressure.Usitukie energy drink zozote unless haina hiyo constituent ya caffeine.

Hata majani ya chai usitumie maana yanakuwaga na nicotine na caffeine pia,wewe kuwa mteja wa asali na majani mengine ya kienyeji
Mimi hayo mengine Sina shida nayo natumia vzuri tu kuanzia kahawa majani ya chai ila hizi energy drinks nmeztumia zaidi ya kiwango kinachohitajika nikajikuta nimeanza kuwa na uraibu nazo hivyo nmedhamiria kuacha, leo naelekea siku ya nne sijat Iumia badala yake natumia maji, ila nataka niflash mwili kwanza.
 
mkuu ni kweli kabisa, na pia kuwepo udhibit wa utengenezaji bidhaa sio mtu anagoogle tuu how to make energy drink (kitu ambacho Mo a.k.a mwamed kafanya) halafu anaruhusiwa kuleta bidhaa sokoni. Yaani ukinywa Mo energy sijui ina ladha gani gata hua sielewi...
Usipoelewa wewe Radha yake ni shida zako na ulimi wako mimi na wengine wanaoikubali tunikubali.
 
Kuna mshikaj tupo nae sait,.bila energy drink siku yake haijaisha
 
Sijawahi tumia energy drink..ningependa kujua kwa watumiaji huwa wanajisikiaje wakishatumia icho kinywaji...😊
 
Back
Top Bottom