ADEM- Agency For the Development of Education Management.sio chuo rasmi ila ni taasisi ya serikali hutumiwa Kwa minajili ya kukuza,kushauri,kuboresha maswala anuai ya kielimu chini ya wizara ya elimu.Aisee. Inaonekana kuna mengi yamejificha huko kwenye mafunzo ya Ualimu ADEM.
Hiki chuo ni cha serikali kweli? Haya mafunzo unayoyaongelea yanaadaliwa na nani? Kuna mafunzo mengi Siku hizi yanaandaliwa na NGOs
Lkn pia kama issue ya Ngono naona katika kundi linalopata tabu ni Walimu wa Kike, sasa hayo mafunzo kama yana posho na chakula lazima waliwe sana.
Tabia hizi zikemewe kwa nguvu zote