Aisee wanakatwa kwenye mshahara????sio wanaambiwa wachange???Ikulu ilishatoa maelezo kuwa ni hiyari kwa mtumishi wa umma kuchanga pesa kwa ajili ya mirad ya maendeleo. Sio lazima-kama wanakatwa wanaweza kushtak maana mkataba wa ajira hausemi hivo na KATIBU MKUU KIONGOZI ALISHALITOLEA UFAFANUZ HILO
Kunawalimu wanaolishangilia hilo. Tanzania tanzaniano
Hapo linaumia Taifa kwa ujumla wake wala sio walimu kama inavyoonekana, walimu walishachagua jinsi ya kuweka mambo yao sawa siku nyingi sana na matokeo si yanasema nini walimu wanafanya!!!!Ngugu! Ni hatariii!! Ungeona jana mama mmoja (mwalimu) alipokuwa akipaza sauti akitoa machozi ungelia ndugu! Tuwe na busara katika kufanya maamuzi hii ni nchi yetu sote tusikubali hata kidogo.
Hapo linaumia Taifa kwa ujumla wake wala sio walimu kama inavyoonekana, walimu walishachagua jinsi ya kuweka mambo yao sawa siku nyingi sana na matokeo si yanasema nini walimu wanafanya!!!!
Ukiongea nao wenyewe wanakuambia kabisa hali mbaya na kama una uwezo peleka mtoto private!!!!
Asalaam alekyum wana ukumbi!
Mbona pesa za kuwalipa wajumbe wa bunge la katiba hazikuleta shida zilipatikana na mabilioni yaliteketea Dodoma? Kwa nini serikali isitafute pesa kama ilivyofanya kwenye bunge la katiba ili maabara zijengwe? Inakuwaje mtumie ubabe kwa njia kandamizi wakati wachache ndiyo wanafaidi keki ya Taifa walio wengi wanaumia!
Nawaomba msiwanyanyase walimu laana itawaumbua nyie wote mlio shika madaraka! Kwa nini hamkuwakata wajumbe wa bunge la katiba! badala yake wakatwe watumishi wa umma wakiwemo walimu ambao mishahara yao inaishia kwenye kulipa riba kwenye mabenki?
Mtwara manispaa walimu wanalazimishwa kuchanga
30,000 ya maabala.
13,000 ya mwenge
5,000 mfuko wa Elimu. HII NDIO SERIKALI SKIVU DUNIANI
JIULIZE huyo aliyetoa agizo la KUJENGA MAABARA yeye anakatwa shilingi ngapi katika MSHAHARA wake?!
PIA huyo aliyewakata WAALIMU, yeye AMEJIKATA shilingi ngapi katika mshahara wake kuchangia ujenzi wa maabara.
TATIZO la waalimu pamoja na USOMI wao wanasubiri HAKI yao waletewe kwenye KISAHANI CHA DHAHABU. Hiyo haijawahi na haitatokea kamwe. Wake up teachears of this country.
waliopo ccm wapo kwa ajili ya kuchumia matumbo yaoHalafu kuna wapumbavu huku wanakesha mchana na usiku kusifia Serikali ya CCM
Walimu hawana umoja kudai haki zao - huwezi kudai haki yako kwa mafungu mafungu!!
Mkuu, waalimu Ni jeshi kubwa lisilojitambua. Hawana umoja Na sijui Kama wanao huo mpango wa kuwa wamoja siku moja. Mi nadhani hawajapewa kitu inauma. Madhila wanayopitia halafu unakuta May Day wanajitoa ufahamu badala ya kuonyesha hisia zao wanabaki wanachekacheka halafu yakiwafika wanakimbilia JF.
Mi nadhani wawakate mishahara pasu kwa pasu Ili kisu kiguse mfupa. Vinginevyo mwenyewe huwa anasema kelele za mlango hazina madhara kwenye usingizi. Watapiga kelele bila kuchukua hatua Na kukatwa mishahara watakatwa, wakitangatanga watapigwa Ili watulie tuliii......
Acha wakatwe wanatusaliti watanzania kipindi cha Uchaguzi.
Aisee wanakatwa kwenye mshahara????sio wanaambiwa wachange???Ikulu ilishatoa maelezo kuwa ni hiyari kwa mtumishi wa umma kuchanga pesa kwa ajili ya mirad ya maendeleo. Sio lazima-kama wanakatwa wanaweza kushtak maana mkataba wa ajira hausemi hivo na KATIBU MKUU KIONGOZI ALISHALITOLEA UFAFANUZ HILO