Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,117
Asante sana mkuu..Pole sana mkuu
Mkuu acha tuu nimechomolewa pesa hadi nashanga kwa kipi nilichofanya cha kutoa pesa nyingi hivi mkuu.Huko serikali wamejaa wazee hawajui vijana wanapitia changamoto gani kwasasa!, tena wakiowaona vijana kadhaa waliofanikiwa nakutumbua wanajua vijana wote mambo safi!. kumbe wengine mafanikio waliyonayo wanajihusisha na mambo ya hovyo!.
sera
katiba
serikali
viongozi
vyote hivi vinahitajika kuboreshwa.
Mkuu acha tuu its too sad...Pole mkuu TUNAISHI KWENYE MAUMIVU MAKALI na wachache wapo hvo kwa makusudi ama kutokujua ,,, ila endelea kusikilizia kuna mtego utanasa na furaha yako italudi,,, TUSICHOKE KUMUOMBA MUNGU
pole mkuuMkuu acha tuu nimechomolewa pesa hadi nashanga kwa kipi nilichofanya cha kutoa pesa nyingi hivi mkuu.
Alafu hao wenye viti na wengine wote wanashangaaa tuu...
Mkuu its so sad
Serikali inataka tufanye nini sasa hivi wameshindwa ku deal na ma big fish huko mpaka wanakuja kwetu kwa sisi watoto wa mama ntilie
Nishapona mkuupole mkuu
Pole sana mkuuFour years unatengeneza jina..
In 5 mins watu wanakuja ku break kila kitu kwa sababu zisizo za msingi seriously
Asante sana mkuu..Pole sana mkuu
Pole sana hiyo tunaita mjasiriamali na yanayo mzunguka mimi nimegundua kwamba yanayo mzunguka mjasiriamali yana nguvu hata kuua biashara inatakiwa uyajue ili uweze kukabiliana na changamoto zinazo sababishwa na hiloSalamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.
Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...
Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...
Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..
Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...
Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu
Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Mkuu hali mbaya ujue...Pole sana hiyo tunaita mjasiriamali na yanayo mzunguka mimi nimegundua kwamba ayanayo mzunguka mjasiriamali yana nguvu hata kuua biashara inatakiwa uyajue ili uweze kukabiliana na changamoto zinazo sababishwa na hilo
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali hiyo aslimia 20 ni yanayo mzunguka
huana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tuSalamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.
Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...
Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...
Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..
Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...
Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu
Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Aliyeipindua serikali ya Syria ni Dogo wa 1992! Alianza kupiga na Vita akiwa na 17 yrs tu,Salamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze katika mambo yake.
Ila serikali yetu imekua ni sehemu moja wapo ya kurudisha maendeleo ya vijana hapa nchini...
Hivi kweli mnakuta mtu anapambana na kibiashara chake ana unga unga lakini from no where wanakuja watu wanajiita sijui nani wanataka vibari vya nini sjui...
Alafu wanakutoza pesa ambayo ukipiga maesabu mtaji wa kazi yako hata haufukii faini ya pesa waliyokutoza..
Sasa nauliza hivi tukiingia mtaani na kuanza kuiba , kukaba au kufanya mambo ya hovyo mtatufanya nini...
Kuna mambo mengine yanafanyika yanaumiza sana sana
Huku ni kurudisha a nyuma kimaendeleo wakuu
Nimeumia sana mpaka sasa pesa niliyoitafuta zaidi ya miaka mitatu imekuja kutolewa ndani ya dakika 5 tuu...
Inauma sana wakuu...
Mnaongea tu , mimi hayo yote nimefanya ,na hakuna kitu zaidi ya kutorekeahuana haja ya kuiba kuona wovu, wala kutamani au kudokoa mali ya wenyewe, watakupoteza bure tu
kilimo, ufugaji na biashara ni ajira za wazi, mtatiji ikiwa ni uthubutu, nguvu na bidii yako tu unatoboa maisha kiulaini sana