Serikali mmeshindwa vipi kuyafungia kamari “madubwi” ya Wachina?

Haya yalichezwa sana wakati wa Magufuli.
Na ndipo yalipoinuka kwa wingi, acha kuilaumu system ya Samia.
Haya madude yanachukua zaidi ya 10% ya pesa za mjini.
Pesa za wajasiriamali zinachukuliwa na Wachina kwa haya madubwi yao haramu.
 
Halafu na BOT inabidi wawashtaki kwa kuhodhi sarafu na kuziondoa kwenye mzunguko kwa muda mrefu.
Kama hujui kitu kaa kimya!!kwani wanapozifungua hizo mashine hizo pesa zinaenda kutupwa?!!na hao wanaokula kwani zinazotoka si ni hizo hizo pesa?!!wao kila leo wanafungua na hizo coins wakizitoa wanamuachia hapo mchezeshaji kiasi, na kama ana noti noti, pia wanabadirisha.huo muda mrefu unaosema ni upi?
Mwaka jana walipowakamata morogoro na DC, wakiwa na coins za milioni 200, badaye BOT, si ilitoa maagizo kuwa hakuna kosa walilofanya kwani wana vibali vyote, na toka hizo mashine zinaingia nchini ilijulikana kuwa zitatumia pesa za sarafu.Bodi ya michezo ya kubahatisha wanawatambua, na hizo machine zinakaguliwa.
 
mama masawe kaliwa hela ya sokoni kwenye dubwi, sijui itakuwaje
20210601_132528.jpg
 
Mtoa mada..kwaza pole kwa kuleta uzi usio na mbele wala nyuma..
1. Slot machine games znaletwa kwa kibali
2.slot Machine znalipiwa kodi TRA, GAMING BOARD, na katika halmashauri zilipo.
3.slot machine kila machne kwa mwezi TRA inapewa laki moja , GAMING BOARD wanakula hadi milion 22 per year kwa ajili ya kibali.
4 .katika usajili lazma kampun iwe na fixed account ya milion 600 ( au kama $300,000) hv if am not wrong.
5. Mtoa post pale unaliwa ww tu ila kuna watu wanakula tembelea kanda ya ziwa mchina maeneo ya kakola analiwa hadi milion na analipa wanazengoo...so logic yako ni ipi....kama jiwe hadi anakufa michenzo hii ilishamiri sana stegemei kama itaisha leo wala kesho
 
Back
Top Bottom