Jamaa kaungaunga nini?CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali �
Mwananchi +1
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo �
Hata hivyo CV ya kitaalumu au elimu haijawekwa wazi kwamba amesoma wapi vyuo alivyosoma miaka ya kusoma na hitimu elimu hizo, kwanini serikali inaficha CV muhimu kama hizi
au na yeye ni elimu ya hapa na pale kama wenzie tu 😂
Siku zote mtu muongeaji sana darasa hua ni zerobrainer yaani hamnazo serikali iweke wazi taarifa za kitaalumu za msemaji wake gerson msigwa
Si alisema alitembea km 90 kwenda shule. Amesoma bwana🤣🤣🤣CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali �
Mwananchi +1
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo �
Hata hivyo CV ya kitaalumu au elimu haijawekwa wazi kwamba amesoma wapi vyuo alivyosoma miaka ya kusoma na hitimu elimu hizo, kwanini serikali inaficha CV muhimu kama hizi
au na yeye ni elimu ya hapa na pale kama wenzie tu 😂
Siku zote mtu muongeaji sana darasa hua ni zerobrainer yaani hamnazo serikali iweke wazi taarifa za kitaalumu za msemaji wake gerson msigwa
Wale wale tu. Kapiga makelele sana tibisii.CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali �
Mwananchi +1
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo �
Hata hivyo CV ya kitaalumu au elimu haijawekwa wazi kwamba amesoma wapi vyuo alivyosoma miaka ya kusoma na hitimu elimu hizo, kwanini serikali inaficha CV muhimu kama hizi
au na yeye ni elimu ya hapa na pale kama wenzie tu 😂
Siku zote mtu muongeaji sana darasa hua ni zerobrainer yaani hamnazo serikali iweke wazi taarifa za kitaalumu za msemaji wake gerson msigwa
Hahaha yai niliwahi kumsikia akiteza South Africa alipokea zawadi maalum kwa niaba ya sirikali. Anajitahidi.Atakua na elimu ya kuunga unga, muda wote sijawahi kumsikia hata siku moja akitema yai. Dalili zote zinaniambia huyu jamaa elimu yake ni ya mashaka makubwa.
Qmamae......pale uwanja mpana. Nasikia sasa umekuwa show roomNadhani Mwaka Jana Alimaliza Biafra Pale Kwa Mfumo Wetu Ule Ule
Vipi hilo yai alilolitema lilikua safi au lilikua yai viza , zee zee you know im good menHahaha yai niliwahi kumsikia akiteza South Africa alipokea zawadi maalum kwa niaba ya sirikali. Anajitahidi.