Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.post ya kijinga kabisa, huwezi kufunga midomo watu kujadili suala linalowahusu wao na vizaizi vijavyo
what a low ass imbecilic post
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.
Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.
Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.
Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.
Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.
Mbona inafahamika vyema tu hata kwa wajinga kwamba katiba inayopendekezwa omekusanya mawazo ya upande mmoja (CCM) na kupuuza upande mwingine?Katiba hii imekosa sifa ya kuitwa Katiba ya Taifa kwasababu imetayarishwa bila kuzingatia maridhiano ya pande zinazokinzana kimawazo na kimtazamo.Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.
Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.
Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.
Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.
Another bogus si ndio maana ya kuinada au we ushazoea kununua mbuzi wa kwenye magunia sito shangaa kama umeichangia CDM jana.Wewe Kahaba hukumsikia Kikwete akiwsagiza nyie mapimbi kuwa muende kuelimisha wananchi kuhusu rasimu ya katiba mliyopitisha? Na hiyo elimu mnatolea wapi kama sio kwenye mijadala!? We umezoea kuvua ch*pi haya mengine unajilazimisha
Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.
Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.
Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.
Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.
Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.Mbona inafahamika vyema tu hata kwa wajinga kwamba katiba inayopendekezwa omekusanya mawazo ya upande mmoja (CCM) na kupuuza upande mwingine?Katiba hii imekosa sifa ya kuitwa Katiba ya Taifa kwasababu imetayarishwa bila kuzingatia maridhiano ya pande zinazokinzana kimawazo na kimtazamo.