Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Siungi mkono hojaWaacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Dah kwa hiyo mimi ni mwananchi tu, dah
Kakosea kukupa Nafasi Nyeti wewe Hali ya kuwa ni MnyarwandaKigezo Kikuu ni Uwezo wa IQ ya Mhusika pindi awapo hapa Jamvini bila kusahau na ' Mvuto ' wake pia. Bahati mbaya najaribu Kuitafuta hiyo IQ yako katika Majukwaa mbalimbali hadi hivi sasa bado sijaiona. britanicca alitulia sana hadi umeona amekuja na hicho Kikosi ambacho Kimesheheni ' Mafundi ' na ' Manguli ' watupu wa ' Kifikra ' huku ' Mapopoma ' wakiwa hawana kabisa nafasi ndani yake.
Ianzishwe wizara ya mazingara.Mshana labda awe waziri wa michezo na utamaduni
Mkuu mi hapo mbona sioni cheo changu au ndio simo japo nipo?[emoji13][emoji13][emoji13]Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Hivi kumbe nimeandika vitabu. Nilikuwa unamaanisha vilabuHata Mimi napenda vitabu mkuu unapendelea vitabu vya aina gani mkuu ?
[emoji46]na wewe ni mlevi ?Hivi kumbe nimeandika vitabu. Nilikuwa unamaanisha vilabu
Musiba wa JFWaacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Sanaaa, hadi nabebwa kurudishwa nyumbani.[emoji46]na wewe ni mlevi ?
Hahaha... Daah mnanioneaUtaniudhi sasa hivi sawa? Ni Swali gani hili unaniuliza? Hivi Jambazi anaweza kabisa Kumuuliza Kibaka Uwizi umetokea wapi?
Si unamjua yule bwanaHahahaha
Kama Kiduku Lilo hayupo basi serikali yako haijatimia.Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
ππππDada mimi nakubishana is where and where ππ sijui kubishana sijui kuandika comment ndefu kama za Karma au zako
Wajumbe wa kamati ya burudani na michezo uko at least nikiwa sambamba na Saint anne ππ
Wewe nitakupa kikosi maalam cha presidential security na executive security...Naunga mkono Hoja tena kwa 100%.
Unapaweza huko Mkuu ni maoni tu...Hahah... Wewe jamaa kwa nn unasema haya