sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,685
- 1,111
Hivi vikao vya baraza la mawaziri hukaa kwa kipindi gani hususani kipindi ambacho bunge linaelekea kwenye vikao vyake?
Kabudi kapokea hoja za wabunge lakini hajajua wapi pa kuzipeleka kwa kuwa toka ateuliwe hawajakaa kwenye kikao cha baraza la mawaziri.
Mh. Zitto alihoji kipindi fulani juu ya mwongozo wa mawaziri katika utendaji wao(instruments),kwa hayo hapo juu huenda ni kweli mwongozo huo haujatolewa ndiyo maana mh. Kabudi hajui mahali pa kupeleka hoja za wananchi.
Mh. Kabudi kusemea hadharani kuwa hawajakaa kikao cha baraza la mawaziri toka kuteuliwa kwake kuwa waziri hakupingani na kiapo chake cha utii cha kutokutoa siri za baraza hilo? Tujadili