barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Serikali kupitia waziri wa nyumba na maendeleo ya jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo tar.01-07-2017 bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali. Yaani kama ulikuwa unalipa chumba.50,000 sasa utalipa 25,000.
Ni huko Burkinafaso, bongo bado sana! we andaa kodi ya mwenye nyumba.
Ni huko Burkinafaso, bongo bado sana! we andaa kodi ya mwenye nyumba.