Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,387
- 3,575
Ntakuwa Wa mwisho kuamini kauli na maagizo ya sirikali ya JPM!!
Wengine tumeongezewa 5000 mkuu sawa na wastani wa166.66 kwa siku ...sasa hii jiti unayomuongezea MTU mzima kwa kusema gharam za maisha zimepanda ni akili au matope kama sio bhange au pombe
Sasa haya ni makavu sio magumu!! Kamba tu hana lolote mwanaye aoneshe vyeti kwanza ndo tumuamini make si kwa ubaguzi huu lol!!Kabla ya 2015 tulikuwa tunaomba tupate Rais Mwenye Maamuzi magumu au sahihi?
Wamesema watumishi woteMbona ni walimu tuu...???
Au Manesi na Madaktari hawatalipwa madai yao...???
Kutoka Bungeni Leo:
Waziri wa fedha na Mipango Dr.Philip Mpango amesema Serikali italipa madeni inayodaiwa ya Zaidi ya shilingi bilioni 43 ambazo imezihakiki na kuona kuwa ni madeni halali ambayo wanadaiwa kati ya mwaka 2005 hadi mwaka 2017 na watumishi wa umma wakiwemo Walimu.
Waziri Mpango amesema fedha hizo zitalipwa kwa mkupuo na watumishi watakaolipwa madai hayo ni elfu ishirini na saba mia tatu themanini na tisa na yatalipwa sambamba na mishahara ya mwezi huu wa pili.
Waziri Mpango amesema awali watumishi elfu themanini na mbili mia moja kumi na moja waliwasilisha madai ya shilingi bilioni mia moja na ishirini na saba ,milioni mia sita na tano laki moja na ishirini na nane,mia nane na sabini na mbili na senti themanini na moja.
Kwa mujibu wa Waziri Mpango,Serikaki imeokoa shilingi bilioni themanini na nne na milioni mia mbili na laki mbili kufuatia uhakiki huo ambazo ni sawa na asilimia 66 ya madai yote yaliyokuwa yamewasilishwa awali.
Malipo ya madai haya ambayo mengine yana zaidi ya miaka 10, majina ya walipwaji yatatangazwa kwenye magazeti kuanzia kesho tarehe 10 Februari
SawaKutoka Bungeni Leo:

Ila hii awamu mimi imenipa akili sana badala ya kutegemea mshahara tu imetupa elimu ya kujiongeza kutafuta vyanzo vingine na pia imetuondolea hofu ya kuogopa kuacha kazi.Kazi ni dhamana ya kukopea tu then unaingia kitaani kupambana unafanya kazi ya serikali kwa muda 10% na 90% unafanya mishe zako huku ukisubilia mshahara wa bureZile Promotion elf 59 mpaka Sasa wameishiwa kupewa makaratasi ya kupandishwa vyeo, Mshahara umeomgezwa elf 10 tu Kama annual increament sio ingezeko la Promotion
Hahahahaha , usiponyooka awamu ya tano hunyooki mpaka unakufa
Hayo malimbikizo yatakuwa hivihivi , subiri ujionee .Hahahaha nimecheka kwa sautiii maana napewaga gawio na tigo sh 60 mara 55 haijawahi vuka 200
Naamini watalipa sababu wanasema majina yatatoka keshoHakuna watakachokilipaaaaaa kwan mwezi wa pili si kesho kutwa tu?tutaona....
Yakitoka yanahakikiwa tena. Hili ni zoezi endelevu.Naamini watalipa sababu wanasema majina yatatoka kesho
Pohamba ni wewe kweli mkuu!!. Mbona kama unaikejeli serikali yetu?Hahahahaha
Tamko rasmi limeshatoka, mfuatilie Msemaji wa Serikal kishatangaza rasmi kuwa mnofu wa 50 M ndo tunautafuna kwny Elimu bure tusiulizane Tena