Hivi ni kweli kuna MUNGU?. Na kama yupo naomba atusamehe, naona hali ya kiroho inadondoka. Kwa muda huu tunahitaji neno la kutusimamisha na kutuongoza kwenye njia nzuri.Tuna muomba MUNGU atupe nguvu na kutufariji. Hapa Duniani??????? panachanganya sana. Tuombeane na kufunga kwa pamoja.
ınawezekana we ğujuı zaıdı ya unavyomdharau mwenzıo, ıkıshafıka tarehe 9 mambo yamşhahara wa mwezı huo huwa tayarı yameshapangwa, jıulze leo tarehe ngapı?Umekurupuka kutoka usingizini mkuu?
Huu ndio mwezi wa pili sasa iyo kesho kutwa imefanyaje?
Mkuu mbona umeandika kipindi cha kumaliza awamu yake jamaa kuwa ni miaka 14??Miaka saba tangu nifanye kazi halmashauri sijawahi kulipwa pesa ya likizo wala kupata promotion.Na huenda hadi serikali hii imalize muda wake wa miaka 14 ndipo nitapata promotion na labda pesa ya likizo.Hata hivyo namtumaini Mungu,ipo siku yangu tu
Kweli kabisa!! Hii ni kudhalilishana!
Wizara tayar imetoa list ya majina takriban 28 elfu ya watumishi ambao watalipwa madai yao baada ya uhakiki
Aambamba na hilo baada ya kuangalia kwa umakin nagundua kuna majna yamejieudia zaid ya mara moja sasa sijui ndo human error au
Kikubwa watumishi wanalipwa hizi nyingine mbwembwe za siasa
Naajaribu kuatach ingoma pdf
Acha kuhamisha magoli wewe karai,unadai daraja nenda rufiji kuna daraja la kilometa moja,kazi hamfanyi mpo bize na mambo binafsi,watoto wanafeli kila sikuMadaraja ya walimu vipi?yaani hii serikali ya awamu ya tano, imejaa uwongo tu!
La muhimu ni je unadai?jina lako lipo au halipo?hayo ya namba za rufiji kufuatana sio tatizo inaonesha kwamba waliajiriwa pamoja na madai yao yanaenda pamojaKwa orodha waliyotoa naona mauzauza tu. Naona sijui wametoa kwa waajiriwa wapya tu maana hata ukiangalia zile check number za waliolipwa zipo kwenye mtiririko unaokaribiana. Mfano ukiangalia Rufiji DC zote zimeanzia 1119........
Mbona tutachelewa kupata haki?Majina mengine yapo wapi, toeni na orodha ya waliokataliwa. Wengi wameachwa dr. Mpango