Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

WATUMISHI ZAIDI YA 80 ELFU WANAMADAI...WANAELEZA KIRAHISI TU HAWASTAHILI...HUO SIO UBINADAMU.SERIKlLI INAJUA HAIKUWALIPA WATU ILIPOWAPANDISHA MADARAJA KWA MIEZI AU MIAKA...LEO MTU ANADAI ARREARS NA VIAMBATANISHO VYOTE....WAZIRI BILA AIBU ANASEMA HAWASTAHILI...SIO HAKI .HATA KUMBUKUMBU ZENU WENYEWE ZINAWASHANGAA.!!! ETI NI WATUMISHI ELFU 27 TUU WANASTAHILI. !!!!!!
Hii hali imeleta masononeko makubwa kwa wengi wetu. Yaani wametoa majibu mepesi sana na siasa juu. .
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa wanalipwa wakuu wa idara mbali mbali kwenye halmashauri na majiji mbalimbali na wizarani tu, zi ginezo mbwembwe tu!!
 
nadhani haina tofauti na lile tangazo la nyongeza y mshahara lililotolewa zanzbar .mpaka leo TUKTA kimya kama hakuna kilichotokea ngoja tusubiri tuone 0.8%
 
Wanashindwa kuwalipa nssf hela zao ili wawalipe Wanachama pesa zao wanaruka ruka tu
 
Naipongeza serikali kwa dhamira hii njema.Itaongeza molali na tija kwa watumishi.
 
Wengine ni madai halali MTU umeajiliwa nae siku moja na mishahara mlianza kupokea pamoja. Miezi 2 baada ya ajira wote hamjalipwa mkaanza kupokea mwezi wa tatu baada ya ajira yenu. Barua ya ajira mlipewA pamoja ktk halmashauri moja . Sasa leo mmoja jina lake limeonekana mwingine halijaonekana . Watumishi tunaonelewa
 
Back
Top Bottom