Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

imeisotea muda mrefu hela ya deni halafu unaenda itoa zaka!..una tofauti gani na mcheza Biko!..
Hiyo inakuwa ni shukrani kwa muumba wako ukitegemea thawabu siku ya kiama baada ya kukusaidia kulipwa hilo deni kwa wakati manake wapo watumishi wengine wanadai lakini hata kwenye orodha ya kulipwa hawajatokea,hiyo biko hupati chochote zaidi ya kuwatajirisha watu.
 
Huu ujinga ndio unanifanya naenda kazini pindi nikijisikia. Hata wasiponilipa poa tu coz hata kazi zao sifanyi. Wiki ijayo nitaenda work ck mbili imetosha. Kmmaa zao
Usitumie hasira. Kuna usemi "asiyefanya kazi asile". Kumbe ni haki yako kukosa?. Kutokwenda kazini bila sababu muhimu ni kosa. Ni sawa Dokta na kusema sijamtibu mtu na amefariki, je atakuwa na amani?
 
madeni yanayotia hasira wameyaacha wanakomaa na mengine
Labda watauingizia kwenye mshahara huu wa mwezi wa pili na tutakuwa na amani?. Ni kweli habari ni imetustua sana. Mimi nilivyoiona jana jioni nilikosa nguvu na usiku sijalala vizuri. Nilimlaumu MUNGU na kumwomba atusamehe. Sijui kama ni kweli huu ni mpango wa MUNGU au?. Labda mbeleni kuna mwanga. Inauma sana ila tusiharibu. Tufuate taratibu na tutafanikiwa. Mh. Rais ni ana upendo na huruma. Hata kutoa haya majina, anastahili pongezi.
 
You are so naive
 
Mbona kwenye hiyo orodha kuna ambao walishatumbuliwa na vyeti feki?nahisi harufu ya uongo kwenye hiyo orodha.
 
Labda watauingizia kwenye mshahara huu wa mwezi wa pili na tutakuwa na amani?. Ni kweli habari ni imetustua sana. Mimi nilivyoiona jana jioni nilikosa nguvu na usiku sijalala vizuri. Nilimlaumu MUNGU na kumwomba atusamehe. Sijui kama ni kweli huu ni mpango wa MUNGU au?. Labda mbeleni kuna mwanga. Inauma sana ila tusiharibu. Tufuate taratibu na tutafanikiwa. Mh. Rais ni ana upendo na huruma. Hata kutoa haya majina, anastahili pongezi.
WATUMISHI ZAIDI YA 80 ELFU WANAMADAI...WANAELEZA KIRAHISI TU HAWASTAHILI...HUO SIO UBINADAMU.SERIKlLI INAJUA HAIKUWALIPA WATU ILIPOWAPANDISHA MADARAJA KWA MIEZI AU MIAKA...LEO MTU ANADAI ARREARS NA VIAMBATANISHO VYOTE....WAZIRI BILA AIBU ANASEMA HAWASTAHILI...SIO HAKI .HATA KUMBUKUMBU ZENU WENYEWE ZINAWASHANGAA.!!! ETI NI WATUMISHI ELFU 27 TUU WANASTAHILI. !!!!!!
 
Yawekwe na majina ya waliokataliwa madai yao ili tujiridhishe kuwa yalifika kunakohusika. Waliokataliwa wapewe nafasi ya kukata rufaa!
 
Serikali ina vituko sana hii.
Kuna watu wameajiriwa batch moja(kwa Mara moja) na wamekaa miezi Kadhaa bila mishahara Cha ajabu sasahivi kuna majina ya wengine na wengine hawamo ilihali ni waajiriwa wa batch moja.
Sasa hao wengine wamekuaje hewa ilhali wote wamehakikiwa na wapo kazini
 
Ninaidai serikali Tsh Milioni mbili na uchafu,,nmeshaandika sana barua,,uhakiki wote npo fresh nashangaa jina langu silioni hapo hamna jipya m siasa tu,wenye majina yenu hongereni,ila nitafanya kazi kadri ya akili na moyo vitanituma...
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom