yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,589
- 1,320
Pepo la uharibifu likichanganyika na pepo la ngono linazaa pepo la kisasi.Shukrani za kipekee kwa World Bank kwa kuzuia bomoabomoa ya Ubungo-Kimara ambapo zaidi ya Nyumba 12,000 zilikuwa zibomolewe..
Kama sio World Bank kusema bomoabomoa hii ipo kinyume cha sheria na haki za binadamu mpaka watu walipwe fidia na hivyo inasitisha fedha za ujenzi wa upanuzi wa Morogoro road, PEPO LA UHARIBIFU alilonalo mtu yule lingekuwa lipo kazini hivi sasa.
Note: Pepo la UHARIBIFU na Pepo la VISASI ni kama wale watoto mapacha wanaofanana ( identical twins), wakati wote wapo pamoja.
Yote hayo anayo mtu yule.Pepo la uharibifu likichanganyika na pepo la ngono linazaa pepo la kisasi.
Tutubu wajameni ...
kwani zilikuwepo hapo awali???Sasa flyover 7 ni kitu cha kujivunia ?!
...
Note: Pepo la UHARIBIFU na Pepo la VISASI ni kama wale watoto mapacha wanaofanana ( identical twins), wakati wote wapo pamoja.
Kuna Miradi ya maji inatekelezwa pia, Umeme kuna miradi inatelekezwa, kuna uboreshaji wa vituo vya afya...yote yanafanyika....lazima tutoe pongezi kwa serikali ya JPMKwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
FlyoverFlyover au madaraja 7
Wakazi wa Dar tunataka kupita juu tumechoka na foleni tena zijengwe kibaooooKwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
wamekudanganya kitu gani wewe???Awamu ya kuongea uwongo mwanzo mwisho
umeambiwa hizo hela za kujenga flyover ni zile million 50 za kila kijiji.............????Mbona milioni hamsini za kila kijiji zinajenga fly over za dar tu.!?