Serikali kufuta leseni za Tanzanite zisizoendelezwa

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,982
11,393
Serikali imeagiza wamiliki wa migodi ya madini ya tanzanite ambao migodi yao imesimama kwa muda mrefu bila uzalishaji kwa madai ya kutokuwa na madini, warudishe leseni zao wizarani mara moja.


Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prosefa James Mdoe, mara baada ya kukagua migodi ya tanzanite ya Kitalu B,D na kitalu C kinachomilikiwa na kampuni ya Tanzanite One, akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge inayosimamia shughuli za Wizara ya Nishati na Madini.

Sijue Mengi hapa atapona? manake miaka nenda rudi anafanyaga utafiti tu.
 
Mkuu mengi anapiga hela juzi tu mwezi 2 ametoa kilo kadhaa za Tanzanite ila huwa aweki hadharani maana maana yeye amejigroup kama mchimbaji mdogo ,ili asilipe kodi ,
 
Waliangalie hili la tanzanite ipo Tanzania wanao ongoza kwa mauzo wawe wengine
Linakera sana
 
Back
Top Bottom