EWURA
ambayo nddiyo seikali yenyewe imeshaamua kuhuisha mkataba huo. Yawezekana hata sisi tukipeleka objections watadai "walioafiki wameshinda" maana ndio watakaochukua maamuzi ya mwisho.
Tusikate tamaa mapema. Uso umeumbwa na haya, tukiwatolea macho hawa majizi uchwara wataona haya na kuacha kutuibia. Tutume tu mapingamizi yetu huku tukiainisha sababu kwa nn wasiongezewe muda.Ndugu yangu weee unajisumbua Bure.Naibu Waziri ndiye yule aliyetuingiza mkenge.Unategemea kuna kuturn back hapo wakati wapiganaji wamepewa ban ya miaka kumi oh sorry miezi kumi na hakuna rukhsa kusema hapana ,ukisema hapana tu utapigwa ban out!
Waache wale wakishashiba watanawa mikono
Uso kwa uso na singasinga.....sasa anaingia kwenye mzizi wa KATAMtihani wa kwanza wa Makufuli
Ni shujaa kweli au ni Chui wa karatasi punde tutajuaa
Singasinga linaendelea kutufilisi.
Heeeee,kwani tatizo nini?
Mkuu,kama makinikia tumezuia,sembuse hiki kikampuni kimoja?Hii leseni watapewa tu, hakuna mweye uwezo wa kuwanyima labda mngetengua Power Purchase Agreement (PPA) walioyoingia na Serikali kupitia TANESCO. Kama kuna anayebisha angalia walivyoframe request "continue with electricity generation activities in line with the existing Power Purchase Agreement which ends on 15th January 2022." Tatizo sio license renewal, tatizo lipo kwenye PPA mliyoingia nao.
Wafe tuuu!Hili si la kuomba ushauri, wapigwe chini tu hakuna mjadala
Thubutu! Waache kuteka Watanzania wazalendo kama kijana Ben Saanane wamteke singasinga! Mbona hilo haliwezekani...waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi!Kwa nini singasinga hatekwi lakini jamani!?