ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,087
- 50,785
Somo hapo Juu linahusika.
Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara haifikiki haijaunganishwa Kwa Barabara na Mikoa mingine ya Tanzania hasa Kanda ya Kati,Magharibi ,Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kwa sababu tuu hakuna Barabara kuu inayoiunganisha Mikoa hiyo.
Nitoe Lai Kwa Serikali kuona uwezekano wa kujenga barabara Kuanzia Iringa Mjini/Ipogoro-Kilolo-Mgeta-Ifakara-Mahenge-Ilonga JCt-Liwale/Lindi na Mlimba-Utengule-Malinyi JCT-Ilonga JCt
Barabara hiyo ikijengwa itafungua uchumi mkubwa sana kwenye maeneo hayo Kwa sababu yote ni potential na pia itachochea Utalii wa Hifadhi ya Nyerere(Selous).
Najua pengine Serikali inasita Sita Kwa sababu ya wale watu wa blaa blaa za mazingira sijui viumbe hai na upuuzi kama huo.Haiingii akilini kwamba Wanyama ni muhimu kuliko maendeleo ya binadamu.Mikumi Kuna Barabara ambayo ni busy zaidi mbona hatusikii Hifadhi ya Mikumi ikifa?
Mwisho uzuri wa hiyo Barabara ni kwamba ikitokea Barabara Kuu ya Tanzam imejifunga hasa kwenye eneo korofi la Milima ya Kitonga Kwa sababu ya ajali na Mafuriko, Magari yatapitia Ifakara Hadi Mikumi na maisha yataendelea.
My Take
Ningekuwa Rais wa Tanzania, kipaombele changu Cha kwanza ingekuwa Barabara, ningefungua maeneo yote potential Kwa Barabara za lami kiasi ndani ya miaka 10 ningejenga zaidi ya km 15,000 za lami.
View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1709865058770034915?t=UIBHZOpf0g2f8DeDslmH6A&s=19
Barabara pendekezwa ni hizo zinazoonekana kwenye line ya Bluu Bahari.