Mji wa Kibaya unaenda kukua Kitovu cha Biashara kwa kupitiwa na Junction ya Barabara Kuu za lami zinazojengwa Kwa EPC+F

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Waswahili wana msemo wao unaosema Kawia ila ufike.

Hivi ndivyo ambavyo inaenda kutokea Kwa Mji wa Kibaya Wilaya Kiteto Mkoa wa Manyara ambapo unaenda ku form Road Junction ya muhimu ambayo itaufanya kuwa Mji wa biashara na utakaopendeza Kwa miundombinu ya Barabara za lami na za Kisasa.

Mji huo unaenda Kupitiwa na Barabara kuu 2 Zinazojengwa Kwa utaratibu wa EPC+F ambazo ni

i/Barabara Kuu ya Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Kwa Mtoro-Singida km 384.33 ambayo itakuwa ni Barabara kuu ya kuhudumia Bandari ya Tanga na Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nchi za Jirani.

ii/Barabara kuu ya Arusha-Kibaya-Kongwa km 453.42.

Barabara hizi ukiacha kuchangamsha Mji pia itabadili mandhari na taswira ya Mji Kwa sababu Barabara hizo kuu zitajengwa kuuzunguka Mji na kulinda Ring road huku zikiunganishwa na Barabara zinazoenda katikati ya Mji na Barabara zote zitawekwa taa za barabarani na kufanya Usiku kuwa Mchana.Waliofika Sikonge watakuwa ni mashahidi Waziri.


View: https://youtu.be/-QzuEWLg4es

My Take
Huu ndio wakati wa Kuwahi fursa za viwanja Kwa Ajili ya biashara,
Rais Samia kazi iendelee Hadi 2035.


View: https://youtu.be/mZnHMgk_BHE?si=frN8VQctBP48_tG6
 
Waswahili wana msemo wao unaosema Kawia ila ufike.

Hivi ndivyo ambavyo inaenda kutokea Kwa Mji wa Kibaya Wilaya Kiteto Mkoa wa Mara ambapo unaenda ku form Road Junction ya muhimu ambayo itaufanya kuwa Mji wa biashara na utakaopendeza Kwa miundombinu ya Barabara za lami na za Kisasa
Sijawahi pakubali Kibaya , Nimepakubali sana Matui, Pana madeal mengi ya mazao
 
Waswahili wana msemo wao unaosema Kawia ila ufike.

Hivi ndivyo ambavyo inaenda kutokea Kwa Mji wa Kibaya Wilaya Kiteto Mkoa wa Mara ambapo unaenda ku form Road Junction ya muhimu ambayo itaufanya kuwa Mji wa biashara na utakaopendeza Kwa miundombinu ya Barabara za lami na za Kisasa...
Huwa napakubali sana Kiteto aisee, kule kunatakiwa watangulie planners wakaupange vizuri mji kabla haujawa populated na watu kujijengea hovyo. Itakuwa ni kati ya miji bomba sana hapa nchini
 
Huwa napakubali sana Kiteto aisee, kule kunatakiwa watangulia planners wakaupange vizuri mji kabla haujawa populated. Itakuwa ni kati ya miji bomba sana hapa nchini
Wakichekewa tuu mjiandae kuwa kama gulio la Ng'ombe maana watu wengi sana watavutika ,kumbuka ukanda huo ni Maarufu sana Kwa Kilimo Cha mahindi.
 
Sasa bakia huko huko Matui harafu utaona wapi patachanganya zaidi baada ya Barabara kukamilika.
Ninacho shikuru Mungu naifahamu Tanzania yetu Kwa ukubwa Sana, iwe Kibaya, iwe mbiri, pori, olrgine, Matui, Osteti. Iwe Songwe, Vwawa, Tunduma, Kamsamba , Mloe, Iwe Karatu , bashai, rotia, endabadhi, iwe Mbulu, mamaisara, daudi, dongobeshi, Iwe Namanyere, Iwe Maji moto, Iwe Nyakanazi, lunzewe, benako, rusomo, ,karagwe, liwale,
 
Ninacho shikuru Mungu naifahamu Tanzania yetu Kwa ukubwa Sana, iwe Kibaya, iwe mbiri, pori, olrgine, Matui, Osteti. Iwe Songwe, Vwawa, Tunduma, Kamsamba , Mloe, Iwe Karatu , bashai, rotia, endabadhi, iwe Mbulu, mamaisara, daudi, dongobeshi, Iwe Namanyere, Iwe Maji moto, Iwe Nyakanazi, lunzewe, benako, rusomo, ,karagwe, liwale,
Wewe ni noma utakuwa mfanyabiashara wa mazao 🤣🤣
 
Hiyo barabara ya Kongwa kutokea Arusha inapitia eneo gani au wapi?.
 
Ninacho shikuru Mungu naifahamu Tanzania yetu Kwa ukubwa Sana, iwe Kibaya, iwe mbiri, pori, olrgine, Matui, Osteti. Iwe Songwe, Vwawa, Tunduma, Kamsamba , Mloe, Iwe Karatu , bashai=Bashay, rotia=Rhotia, endabadhi=Endabash, iwe Mbulu, mamaisara, daudi, dongobeshi=Dongobesh, Iwe Namanyere, Iwe Maji moto, Iwe Nyakanazi, lunzewe, benako, rusomo, ,karagwe, liwale,
Ni hayo tu ndugu Vasco da Gama wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom