Utawapelekea vyoooote...umesahau watu muhimu sana wa Dar...."Mateja" wapunguzie na hawa wakaburudike naoHewaaaaa,.nilikuwa sijaiona hii mada,mwaka juzi nilianzisha mada kama hii mukanitukana kweli,mods nao inaonekana ni wakuja maana waliificha chit chat,kama kununa munune,kuanzia members hadi mods nasema hivi,kama wewe ni wakuja basi RUUUDI KWEENUUU,huyu anasema wapya wasije,mimi nasema wakuja wote muondoke murudi kweenu mutuachie Dar yetu inapumulia mashine jamani.Mutuache tuliozaliwa huku,na wale waliokuja miaka ya tisini,kama wewe umekuja kuanzia 2000 na kuendelea nasema ruudi kweenu,hamna pahala pa kujenga "pasipoti" tena,hadi jangwani imejaa,muruudi kweenu,december mukiendaga kwenu kamji ketu kanapoaga na kurudia "umalaika" wake,wezi wanapungua,matapeli wanapotea,gari za kuzimika kwenye madimbwi ya maji huwa hazionekani,Ubungo na buguruni panapitika bila vikumbo,vikwapa kwenye daladala hamna,matusi mitandaoni yanapungua,maji mabombani hutoka,transifoma za Ubungo hazilipuki kwa kuzidiwa "lodi",yaani kamji ketu kanarudi enzi zilee za "ochestre sambulumaa"!tena mukiendaga huko na haya maredio yenu sijui kilaudiz,mejiki muwe munafungia stoo,tumechoka kusikiliza ujinga,mufunge mutuachie RTD yetu na nyimbo zake za ngapulila na baba jeni.Muende kwenu eeh,mumesikia watoto wazuri eeh,mubaki huko huko,tutawaletea yote ya Dar huko!kama munataka mabomba bila maji tutaleta,umeme wa mgao tutaleta,tutaleta magari mengi ili na barabara zenu ziwe na foleni,mumesikia eh?musijali na mafuriko ya jangwani tutaleta,kifua kikuu,malaria,mishikaki,chips,tutaajiri vijana waje wapike huko,betting tutaleta,wapiga debe wa kuchangamsha miji yenu tutaleta,yaani kila kitu mutaletewa,hata bahari tutajenga muogelee ila mkioga muogelee usawa wa huko huko..no stowaway kuja Dar Please please.,tumeenea,tumetosha,tuacheni tupumuweee,nyie murudi kwenu,na hapa nazungumzia wakuja wote,wabara na wapem..mh huku ngoja niache nisionekane "serikali tatu" bure!muruudi kwenu,tumechoka kufagia vinyesi mabarazani kila asubuhi bhana!
Watu milioni 4, population density watu 100,000 kwa eneo la mraba. Kwa stahili hii mji hauwezi kua safi wala kero kuisha. Miundo mbinu haikuandaliwa kwaajili ya ongezeko hilo la watu.
Hewaaaaa,.nilikuwa sijaiona hii mada,mwaka juzi nilianzisha mada kama hii mukanitukana kweli,mods nao inaonekana ni wakuja maana waliificha chit chat,kama kununa munune,kuanzia members hadi mods nasema hivi,kama wewe ni wakuja basi RUUUDI KWEENUUU,huyu anasema wapya wasije,mimi nasema wakuja wote muondoke murudi kweenu mutuachie Dar yetu inapumulia mashine jamani.Mutuache tuliozaliwa huku,na wale waliokuja miaka ya tisini,kama wewe umekuja kuanzia 2000 na kuendelea nasema ruudi kweenu,hamna pahala pa kujenga "pasipoti" tena,hadi jangwani imejaa,muruudi kweenu,december mukiendaga kwenu kamji ketu kanapoaga na kurudia "umalaika" wake,wezi wanapungua,matapeli wanapotea,gari za kuzimika kwenye madimbwi ya maji huwa hazionekani,Ubungo na buguruni panapitika bila vikumbo,vikwapa kwenye daladala hamna,matusi mitandaoni yanapungua,maji mabombani hutoka,transifoma za Ubungo hazilipuki kwa kuzidiwa "lodi",yaani kamji ketu kanarudi enzi zilee za "ochestre sambulumaa"!tena mukiendaga huko na haya maredio yenu sijui kilaudiz,mejiki muwe munafungia stoo,tumechoka kusikiliza ujinga,mufunge mutuachie RTD yetu na nyimbo zake za ngapulila na baba jeni.Muende kwenu eeh,mumesikia watoto wazuri eeh,mubaki huko huko,tutawaletea yote ya Dar huko!kama munataka mabomba bila maji tutaleta,umeme wa mgao tutaleta,tutaleta magari mengi ili na barabara zenu ziwe na foleni,mumesikia eh?musijali na mafuriko ya jangwani tutaleta,kifua kikuu,malaria,mishikaki,chips,tutaajiri vijana waje wapike huko,betting tutaleta,wapiga debe wa kuchangamsha miji yenu tutaleta,yaani kila kitu mutaletewa,hata bahari tutajenga muogelee ila mkioga muogelee usawa wa huko huko..no stowaway kuja Dar Please please.,tumeenea,tumetosha,tuacheni tupumuweee,nyie murudi kwenu,na hapa nazungumzia wakuja wote,wabara na wapem..mh huku ngoja niache nisionekane "serikali tatu" bure!muruudi kwenu,tumechoka kufagia vinyesi mabarazani kila asubuhi bhana!
"Eneo la mraba" ni kipimo gani hicho?
Halafu anamsaidia dada yake huko kwa shemeji kuosha vyombo na kwenda gengeni. Ndio anajiona mjanja huko anakokaa Tandale Kwamtogole kwa Tumbo!Halafu dar yenyewe unakaa kwa shemeji alipo olewa dada yako chumba na sebule,una lala sebuleni wa mwisho kulala wa kwanza kuamka teh teh teh.
Huko kote kwake ni msamiati alikuja kwa mabasi ya Kiparang'anda yanaishia stend ya Mbagala.We wkt unakuja dar stand ilikuwa kisutu au ubungo?
Mtoa mada ana hoja na wala sijaona kama kasema Dar ni kwao. Watu wameamua kugeuza mada kama stori za kwenye kahawa! Suala ni sera lazima ziangalie ukuwaji wa mji usioendana na miuondo mbinu yake. Watu wa planning wanajua athari za hii. Kuna njia nyingi za kufanya outward immigration. Moja wapo ni kuhakikisha huduma zinapstikana mikoa mingine, ajira mpya watu waende mikoani wataanzisha makazi huko. Nchi nyingine zimeweza ku control imkigration kwa kufanya mji uwe exoensive, wasioweza watatoka tu
Mimi nadhani unaumwa na inatakiwa uende Muhimbili ukapimwe akili yako maana haijakaa sawa huwezi kusema watuNafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?
Mbona unajishaua hivo kwani Dar ya babaako?