kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Timu hizi ni mzigo na hazina mipango endelevu zaidi ya kudorore soka LA Tanzania.
Hizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao.
Hizi timu zinamiliki club. Ni aibu timu kubwa kama Azam kuwa ni tawi rasmi LA Simba.
Ndani ya vilabu vya soka kuna hujuma. Timu zinajitoa kafara kwa Simba na Yanga.
Hizi timu hazina tija kwa mustakabali wa soka let. Tunataka soka LA kisasa.
Inatia moyo kuona mwanadada unafuatilia mambo ya soka. Safi sana.