Serikali izifute Yanga na Simba

Serikali izifute Yanga na Simba

Serikali ikijaribu tu huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania kuwa mshiriki wa mashindano ya FIFA sababu FIFA haina kigugumizi kwenye msimamo wake wa kwamba serikali isiingilie mambo ya mpira wa miguu.

Badala ya kusema hawa wababe wafutwe ni bora kwa wanyonge nao wajitahidi wawe wababe
 
Tofauti na Azam hakuna timu nyingine yenye uwanja wake yenyewe nyingine zinatumia viwanja vya CCM.Mfano Ccm kirumba,sheikh karume etc

Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting, Ushirika Moshi na Yanga zina viwanja vyake
 
Timu hizi ni mzigo na hazina mipango endelevu zaidi ya kudorore soka LA Tanzania.
Hizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao.
Hizi timu zinamiliki club. Ni aibu timu kubwa kama Azam kuwa ni tawi rasmi LA Simba.
Ndani ya vilabu vya soka kuna hujuma. Timu zinajitoa kafara kwa Simba na Yanga.
Hizi timu hazina tija kwa mustakabali wa soka let. Tunataka soka LA kisasa.
Kama Lamba2 ni tawi la Simba,nayo itakuwa imefutwa automatically.
 
Back
Top Bottom