Watu ndo waliochagua,sasa wewe unabisha nini?usipingane na mawazo ya watu,eti Diamond alijaza watu Mwanza nani kakuambia alijaza peke yake,kulikuwa na wananii wengi kama Yamoto band,Madee,H baba na wenginne kibao leo mnamuona Diamond tu,hapa nakujibu ujinga wako unaoandika kule insta,maana kule mtu akiandika na usivyotaka basi unamblock,hapa nakupa fact tu.Tatizo wivu ndo unakusumbua,kwani Mwanamziki Tanzania ni Diamond tu?Watu wamepiga kura kuwa wanampenda Kiba zaidi ya Diamond wewe unabisha nini?kama vipi anzisha tuzo zako ambazo utakuwa unachagua mwenyewe peke yako

Huyu alitaka blog yake ndo ichaguliwe,yaani kinamuuma sana wakati li blog lake limejaa macopy and paste hana ubunifu wowote,baba zima akili ndogo.Hana lolote .kang'ang'ania Diamond Diamond wakati tuna wasanii wengi tu hapa wazuri,Yaani huyu baba sijui yukoje.Hivi wewe unacholalamikia ni nini hasa Millard Ayo kupata tuzo? warembo wako kutoshoriki mashindano? Diamond kutopata tuzo? Hivi unadhani Diamond atakaa kileleni daima bila kushuka? Nadhani hapo utakuwa unajidanganya sana
Mzee pambana kumsaidia mtu wa kambi yako membee wanawake wote hao ulipiga nao picha hawajakutoshaa unaposema
Diamond anamzidi alikiba akili yako nakuwa siisomi
Na pia unapokuja kunimaliza kabisa palr unaposema jamii forum.ni blog nachoka kabisaaa
Usiache nianze kuamini kwamba mz3e alikupeleka abroad uende kukuaa sio kusoma upate exposure na Iq maana naona unayoyafanya are far apart with whats unachotakiwa kukifanya maishani mwakoo
Huyu jamaa huyu sijui yukoje,hajui kama Diamond ana followers wengi sababu ya skendo na Wema sepetu wake,Sasa Zari,kwanza sio wote wanaomfollow ni ma fun wake,wngine ni mahater tu.Na suala la kuwa na followers wengi na kupiga kura ni vitu viwili tofauti,Huyu Le mutuz ana matatizo kabisa maana reasoning zake hazina mashiko kabisaPoint ya huyu mtu wa degree tatu ni ilikuwa kwa daimondi kwa mamis kazugia tuu maana duu kakazania kweli kweli.
But my side naona alikiba anadeserve kupewa na sio.daimondi maana alikiba anapendwa ila sio mtuu maarufu kama daimondi.soo kuwa na followers weng facebook,instagram au any were else si uthibitisho kuwa unapendwa maana unaweza kuwa na followers weng wa kutoka njee na sio hapa na tuzo za watu.hupigwa na watanzania.fanya kumbukumbu za akina jumanature ndo utanielewa namaanisha nini.back to miss tanzania ukiangalia wengi huwa ni wake za wenye pesa na.sio main point ya miss so basata wako.sawa kuwa fungia
Haaa haaa alienda kuendesha malori kuna mdau mmoja aliwahikumuumbua.
Huyu alitaka blog yake ndo ichaguliwe,yaani kinamuuma sana wakati li blog lake limejaa macopy and paste hana ubunifu wowote,baba zima akili ndogo.Hana lolote .kang'ang'ania Diamond Diamond wakati tuna wasanii wengi tu hapa wazuri,Yaani huyu baba sijui yukoje.
Ehee maana jamaa simsomii
Kuwadi yeye kukuwadia wanawake wakina davis mosha. Na watu maarufuu na kupiga picha na mbebez ndio zakee kafeli kwenye siasa sababu ta mambo yakee dingi ake alikuwa jembe saana aise ila junior wake anayoyafanya ni sheeda tena sheeda kabisaa
Huyu jamaa huyu sijui yukoje,hajui kama Diamond ana followers wengi sababu ya skendo na Wema sepetu wake,Sasa Zari,kwanza sio wote wanaomfollow ni ma fun wake,wngine ni mahater tu.Na suala la kuwa na followers wengi na kupiga kura ni vitu viwili tofauti,Huyu Le mutuz ana matatizo kabisa maana reasoning zake hazina mashiko kabisa
Haaa haaa alienda kuendesha malori kuna mdau mmoja aliwahikumuumbua.
Mzee pambana kumsaidia mtu wa kambi yako membee wanawake wote hao ulipiga nao picha hawajakutoshaa unaposema
Diamond anamzidi alikiba akili yako nakuwa siisomi
Na pia unapokuja kunimaliza kabisa palr unaposema jamii forum.ni blog nachoka kabisaaa
Usiache nianze kuamini kwamba mz3e alikupeleka abroad uende kukuaa sio kusoma upate exposure na Iq maana naona unayoyafanya are far apart with whats unachotakiwa kukifanya maishani mwakoo
Haikuwepo kwenye nominees kwa sababu haikuchagulia,maana hizi tuzo ni watu wamechagua mwanzo mwisho,hoja zako za Diamond kujaza watu hazina mashiko,Na subiri Kilimanjaro ndo utaongea mpaka basi ,Maana kama unampenda Diamond nilitegemea uhimize watu wapige kura,ila ndo unalalamika tu.Baadae matokeo yakitoka unaanza kulalamika tena,pole sana- Nitakuwa mwendawazimu kulilia zawadi ya Blog na huku haikuwemo hata kwenye Category, unalalamika kama umekuwa nominated na umeshindwa, blog yangu imeanza Mwaka 2012 leo ni A registered Company inaajiri wafanyakaiz watano inaingiza Millions ya pesa inajiendesha yenyewe, na mimi sasa hivi I am working on a Radio na TV Station African Swahili Media, now nikishaingia kwenye RAdio na TV ndio my blog itakuwa kwenye position ya kuingia kwenye mashindano kama hayo, ndio maana hakuna website iliyotajwa ambayo haina connetion na RAdio au TV so relax na hizi nonsense!!
Le Mutuz
Mbona unakwepa kuzungumzia hicho kiofisi chako au kwakuwa kimechoka sana,Jina lako lilikatwa kwakuwa unapenda kupiga picha na vibinti vidogo ndio ilikuwa sababu ya kunyimwa ukuu wa wilaya.Kazi ya udalali imekushinda viwanja,nyumba na mashamba wanuuzi siku hizi hawapendi mtu wa kati (dalali) bora ukuu wa wilaya una uhakika wa makazi bora,usafiri wa uhakika sio kile kivitz chako kinakaribia kufa engine kwa uchakavu & overloading due to your body overweight haaa haaa.
Unaona jinsi ulivyo na akili za kitoto,hivi kwani Diamond kazaliwa akiwa star?Si kaanzia mbali?hivyo kwa nini ushangae na wasanii wengine wanavyopanda kimusic?kwa hiyo kwa akili yako Diamond ataendelea kuwa star maisha yake yote?Wapi Mr Nice?Ray C na wengine kibao- Reasoning za Diamond na Ali Kiba on what aibu hata kusema, mtu na akili zako timamu unaweza kusema Diamond ana mshindani Tanzania nani huyo? hebu tuliza kelele wewe
Le Mutuz
- hahahaha ni kweli nilikuwa naendesha malori kulipia Shule ndio maana nikapata Degree 3 na sasa ninazitumia hapa ofisini kwangu bongo, unasema kuendesha malori kujisomesha Degree ni dhambi? really? hahahahahaha
Le Mutuz
Haikuwepo kwenye nominees kwa sababu haikuchagulia,maana hizi tuzo ni watu wamechagua mwanzo mwisho,hoja zako za Diamond kujaza watu hazina mashiko,Na subiri Kilimanjaro ndo utaongea mpaka basi ,Maana kama unampenda Diamond nilitegemea uhimize watu wapige kura,ila ndo unalalamika tu.Baadae matokeo yakitoka unaanza kulalamika tena,pole sana