Serikali itusaidie nasi tupate benefits as unemployed

Serikali itusaidie nasi tupate benefits as unemployed

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Embu tushaurini serikali ifikirie hili, itusaidie hata 2,000/day as an unemployment benefits, tunaisha ndugu zangu.

Atleast tupate hata chakula cha jioni.
 
inashindwa kuwalipa wastaafu waliojenga taifa mafao mazuri wakulipe wewe mwenye akili timamu na nguvu?
acha kuota mkuuu,tujitume ilikujikomboa kwenye umaskini wa kipato,ila umaskini wa akili ni jukumu lako binafsi kujikomboa!
 
Serikali sikivu ya chama cha magamba haisikiagi hizi
 
Inawezekana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Iyo kitu ipo kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea kwa mfano uingereza, ila kwa hapa kwetu itakua ngumu mkuu cos taifa letu bado maskini sana.
 
Back
Top Bottom