Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 288
Wana ndugu salama?
Nimejitokeza kuwa msemaji wa jamaa na wazee wetu wote wanaokumbana na wakati mgumumno katika kupata mafaoyao, hasa katika huu mfuko wa PSPF.
Kwakweli inatia uchungu kwa jinsi wazee hawa (wastaafu) wanavyoishi maisha ya dhiki, bila kufahamu ni lini hasa watalipwa mafao yao. Nimekutana na wengi wao wakiwa na zaidi ya miezi 9 hadi leo hii pspf inawazungusha tu!
Serikali sasa itoe tamko hawa wazee na jamaa zetu kwanini hawalipwi stahili zao lkwa wakati? Wanafikiri wanaishije?