Serikali itoe taarifa kwa umma juu ya mabetri feki ya solar(ya unga) yanaumiza uchumi wa wananchi;

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,047
521
Leo TBS walikuwa kariakoo kwa ukaguzi wa ubora wa vitu, wamefungia biashara maduka kadhaa kwa kuuza betri feki za solar (umeme jadidifu)

Betri za solar feki ndio biashara iliyoshamiri, betri original zinapoingia sokoni haziendelei kuwapo sokoni baada ya copy kuingia, halafu mamlaka zinafumba macho, hili nalo ni bonge la busha

Lakini sijui kama watatoa elimu kwa umma ili watu waweze kuzitumia na kuziepuka ikibidi waripoti kwa mamlaka zinazohusika
 
Back
Top Bottom