RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Leo TBS walikuwa Kariakoo kwa ukaguzi wa ubora wa vitu, wamefungia biashara maduka kadhaa kwa kuuza betri feki za solar (umeme jadidifu)
Betri za solar feki ndio biashara iliyoshamiri, betri original zinapoingia sokoni haziendelei kuwapo sokoni baada ya copy kuingia, halafu mamlaka zinafumba macho, hili nalo ni bonge la busha
Lakini sijui kama watatoa elimu kwa umma ili watu waweze kuzitumia na kuziepuka ikibidi waripoti kwa mamlaka zinazohusika