chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Wewe nae ni MPOTOSHAJI MKUBWA kabsa...Mbna HEADING YA UZI WAKO haishaabiani na hicho kipisi cha TANGAZO and what if tukisema hicho kitangazo umeandika chumbani kwako kwa leo tu la KUPOTOSHA maana heading tu inatosha kuthibitisha hiliSerikali imesitisha kutoa hela za kijikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosubiria na sababu kuu ni kuwa hawana hela, taarifa hizo nimezipata kutoka kwa uongozi wa chuo kikuu Bugando waliopata taarifa hizo kutoka kwa bodi ya mikopo iliyopata taarifa hizo kutoka hazina
View attachment 361965
mimi nauliza kama serikali haina hela, wananchi mtaani pia hawana hela, wafanyabiashara nao wanalia hela hakuna, je ni nani mwenye hizo hela??
Hivi unajua hata MUHAS hawajapata hizo pesa .ndio shida ya kusoma vyou vidogovidogo ,, pesa zilizotoka zinapelekwa kwenye vyuo vikubwa ,, nyie masalia inabidi tu mpumzike kwa mda . Pole Dogo ,,,
bugandoTangazo mbona limekaa kienyeji enyeji sana...Chuo cha wapi hicho!!!!?...
kiswahili kinanipa tabu, heading ilitakiwa iweje? hope moderator ata editWewe nae ni MPOTOSHAJI MKUBWA kabsa...Mbna HEADING YA UZI WAKO haishaabiani na hicho kipisi cha TANGAZO and what if tukisema hicho kitangazo umeandika chumbani kwako kwa leo tu la KUPOTOSHA maana heading tu inatosha kuthibitisha hili
ni ,, Mlikua wap hamjasoma enzi zetu , msijali lakini serikali yenu tiifu ip n inalitabua hilo , jue na subra, ,, kam ulikua uantegemea kapesa hakohako kuchukulia watoto , di hivyo tena poleHivi unajua hata MUHAS hawajapata hizo pesa .
Usidharau vyuo vingine
Hahahahah.Wewe nae ni MPOTOSHAJI MKUBWA kabsa...Mbna HEADING YA UZI WAKO haishaabiani na hicho kipisi cha TANGAZO and what if tukisema hicho kitangazo umeandika chumbani kwako kwa leo tu la KUPOTOSHA maana heading tu inatosha kuthibitisha hili
Ndiyo mzeetutahakikisha tunatoa hela za mikopo kwa wakati by JPM