Serikali itatoa hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo kwa awamu, yasema haina hela kwa sasa

pole
ni ,, Mlikua wap hamjasoma enzi zetu , msijali lakini serikali yenu tiifu ip n inalitabua hilo , jue na subra, ,, kam ulikua uantegemea kapesa hakohako kuchukulia watoto , di hivyo tena pole
Kwa uandishi huu nina mashaka na elimu yako ya "enzi zenu"
 
pole
ni ,, Mlikua wap hamjasoma enzi zetu , msijali lakini serikali yenu tiifu ip n inalitabua hilo , jue na subra, ,, kam ulikua uantegemea kapesa hakohako kuchukulia watoto , di hivyo tena pole
Unampa nani pole

Nipo kazini miaka sasa
 
pole
ni ,, Mlikua wap hamjasoma enzi zetu , msijali lakini serikali yenu tiifu ip n inalitabua hilo , jue na subra, ,, kam ulikua uantegemea kapesa hakohako kuchukulia watoto , di hivyo tena pole

Utakuwa ulisoma zamani sana mkuu maana hata kuandika umesahau
 
Hizi mbinu tulikuwa tunazitumia sisi enzi hizo udsm,Serikali inayopenda sifa unaeneza uongo au uzushi kesho Yake wahusika wanajitokeza kwenye vyombo vya habari,hapo hapohapo mnajua kinachoendelea,pengine pesa inatolewa kesho Yake.Saizi ukizusha unashughulikiwa hakuna Uhuru,hasa hii kitu Sheria ya mtandao hii sio nzuri.
 
Boom shdaaa sku iz wanafunzi jifunzen bajet ya boom mja kwa semister mja koz ndicho kinachofuatia
 
Serikali mnatusababishia wazazi usumbufu.
Ndio maana madogo wanapigapiga simu sana aisee!
Nilikuwa nampiga kalenda ila kama ishu ziko hivi ngoja nimtumie.Nlikuwa sijui.
 
ndio shida ya kusoma vyou vidogovidogo ,, pesa zilizotoka zinapelekwa kwenye vyuo vikubwa ,, nyie masalia inabidi tu mpumzike kwa mda . Pole Dogo ,,,
We umekurupuka! Hujui hata MUHAS nao bado hawajapata boom? Halafu nafikiri uwezo wako wa kufuatilia mambo ni mdogo! Haiwezekani chuo kinachotoa PhD katika fani ya tiba ukiweke miongoni mwa vyuo vidogo vidogo
 
Wacha waisome namba eeghhh CCM Mbele kwa Mbele kawimbo katamu Sana haka
 
Hahahahah.
Namimi kitangazo hiki nina mashaka nacho mkuu. ukiangalia notice board yenyewe nayo haifanani kama ni chuoni hapo.
Ngo tusubiri wanaosoma hicho chuo.
Kwa sisi tuliokaribu na hapa, kitangazo kiko sahihi na kimetolewa na serikali ya wanafunzi - Catholic University of Health and Allied Sciences Students Organization (CUHASSO)
 
Back
Top Bottom