chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Serikali itatoa hela za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosubiria kidogo kidogo kwa awamu na sababu kuu ni kuwa hawana hela, taarifa hizo nimezipata kutoka kwa uongozi wa chuo kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences kinachojulikana pia kwa jina la Bugando, waliopata taarifa hizo kutoka kwa bodi ya mikopo iliyopata taarifa hizo kutoka hazina
kwa mlio na mashaka na tangazo mnaweza mkapiga simu kwa mtu aliyepo Bugando au Loan board awaondolee mashaka
mimi nauliza kama serikali haina hela, wananchi mtaani pia hawana hela, wafanyabiashara nao wanalia hela hakuna, je ni nani mwenye hizo hela??