Serikali itatoa hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo kwa awamu, yasema haina hela kwa sasa

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,959
Serikali itatoa hela za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosubiria kidogo kidogo kwa awamu na sababu kuu ni kuwa hawana hela, taarifa hizo nimezipata kutoka kwa uongozi wa chuo kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences kinachojulikana pia kwa jina la Bugando, waliopata taarifa hizo kutoka kwa bodi ya mikopo iliyopata taarifa hizo kutoka hazina

kwa mlio na mashaka na tangazo mnaweza mkapiga simu kwa mtu aliyepo Bugando au Loan board awaondolee mashaka
1467390952146.jpg

mimi nauliza kama serikali haina hela, wananchi mtaani pia hawana hela, wafanyabiashara nao wanalia hela hakuna, je ni nani mwenye hizo hela??
 
ndio shida ya kusoma vyou vidogovidogo ,, pesa zilizotoka zinapelekwa kwenye vyuo vikubwa ,, nyie masalia inabidi tu mpumzike kwa mda . Pole Dogo ,,,
 
Serikali imesitisha kutoa hela za kijikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosubiria na sababu kuu ni kuwa hawana hela, taarifa hizo nimezipata kutoka kwa uongozi wa chuo kikuu Bugando waliopata taarifa hizo kutoka kwa bodi ya mikopo iliyopata taarifa hizo kutoka hazina
View attachment 361965

mimi nauliza kama serikali haina hela, wananchi mtaani pia hawana hela, wafanyabiashara nao wanalia hela hakuna, je ni nani mwenye hizo hela??
Wewe nae ni MPOTOSHAJI MKUBWA kabsa...Mbna HEADING YA UZI WAKO haishaabiani na hicho kipisi cha TANGAZO and what if tukisema hicho kitangazo umeandika chumbani kwako kwa leo tu la KUPOTOSHA maana heading tu inatosha kuthibitisha hili
 
kiswahili kinanipa tabu, heading ilitakiwa iweje? hope moderator ata edit
 
pole
Hivi unajua hata MUHAS hawajapata hizo pesa .

Usidharau vyuo vingine
ni ,, Mlikua wap hamjasoma enzi zetu , msijali lakini serikali yenu tiifu ip n inalitabua hilo , jue na subra, ,, kam ulikua uantegemea kapesa hakohako kuchukulia watoto , di hivyo tena pole
 
Wewe nae ni MPOTOSHAJI MKUBWA kabsa...Mbna HEADING YA UZI WAKO haishaabiani na hicho kipisi cha TANGAZO and what if tukisema hicho kitangazo umeandika chumbani kwako kwa leo tu la KUPOTOSHA maana heading tu inatosha kuthibitisha hili
Hahahahah.
Namimi kitangazo hiki nina mashaka nacho mkuu. ukiangalia notice board yenyewe nayo haifanani kama ni chuoni hapo.
Ngo tusubiri wanaosoma hicho chuo.
 
sasa hawa jamaa si wanaongoza kunyonya kodi kuliko mtangulizi wao..
jamaa alitoka mishipa ya shingo eti aliguswa na usumbufu wa wanafunzi kucheleweshewa posho..
au anakusanya akanunue ndege za kupigia kampeni 2020 ?
sijui sijakashifu, au nimechochea ?
hapa kimya tu !
 
Hela zote wanazokusanya mabilion kwa mabilion znaenda wap?? Au mabilion ya mdomo 2.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom