Serikali itatoa hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo kwa awamu, yasema haina hela kwa sasa

Sinema ya kihindi ya stelling anakufa,hii imenikumbusha jana mfanyabiashara anaiba 7,000,000/- kila dakika sasa kwa mwaka ana shs ngapi na hatajwi jina! Guinness
 
Kwa sisi tuliokaribu na hapa, kitangazo kiko sahihi na kimetolewa na serikali ya wanafunzi - Catholic University of Health and Allied Sciences Students Organization (CUHASSO)
Notice board hiyo ni ya hostel ambayo kila siku hubandikwa matangazo. Mwenyekiti wa waha, au wa watu wa kusuni akiwa na tangazo anabandika hapohapo, kwa nini notice board isichakae?
 
I

Ivi bugando(catholic university of health and allied science CUHASO) kumbe chuo kidogo ee nilikuwa cjui, ni vyuo vipi vikubwa hapa tanzania unavyovizungumzia mkuu
Me mwenyewe nimemshangaa huyu mtu, sasa sijui vyuo vikubwa ni vp? labda mwenzetu anaangalia ukubwa wa majengo
 
ndio shida ya kusoma vyou vidogovidogo ,, pesa zilizotoka zinapelekwa kwenye vyuo vikubwa ,, nyie masalia inabidi tu mpumzike kwa mda . Pole Dogo ,,,
Mkuu, sina uhakika kama unauelewa umuhimu wa Bugando, KCMC na MUHAS.
 
kilio.jpg
 
ndio shida ya kusoma vyou vidogovidogo ,, pesa zilizotoka zinapelekwa kwenye vyuo vikubwa ,, nyie masalia inabidi tu mpumzike kwa mda . Pole Dogo ,,,
Hongera wewe uko Havard. Hawa wa Bugando endelea kuwaita masalia time will tell.
 
iyo kitu kwel ipo bugando kwa cc chuo kidogo hongera kwa uyo chuo kikubwa
 

Attachments

  • IMG-20160701-WA0012.jpg
    IMG-20160701-WA0012.jpg
    101 KB · Views: 53
Back
Top Bottom