Yaende kwa awamu.Huwezi wanyima watoto haki zao mfano shule,matibabu, chakula,nk eti unajenga nyumba nyingine ya kuishi hali uliyonayo ni toshelevu.cha msingi umekisema kweli kwamba TUSAMEHE - ni kweli wengi wameumia mno ila kusamehe ni moja na nguzo katika dini zetu - tumekwishalifanya hilo, ila masuala ya kupokelewa huko mbinguni sisi hatuna mamlaka nalo ni Mungu baba Mwenyezi ndiyo atashughulika nalo.
Ila haya ma project mengine yasiyokuwa na tija kwa taifa - tusameheane.
katika maamuzi yenye mstakabali wa taifa wewe unazungumzia ndoa zilizovunjika!!!Hayakuwa maamuzi sahihi ya kupeleka watu kule Dodoma ndoa zimevunjika watu wamekufa kwa presha kisa mtu anataka sifa tu eti kafanya kitu ambacho Baba wa Taifa alishindwa matokeo yake anawapeleka watu kule yeye anakimbilia kutibiwa Dar, tulikosea sana watanzania
afadhali unaonekana unafikiri kwa niaba.Ikulu ya dodoma igeuzwe chuo kikuu cha ufundi afrika mashariki itoe elimu kuanzia veta Hadi PhD.Ikulu mbili ni gharama ibakie ya dar tu.
Uwanja wa ndege wa Chato wapewe jeshi Ili isipotee.Uitwe Magufuli airwing.
Nani unafikiri atabaki Dodoma kwenye vumbi ndio sahau hiyo... tulishaambiwa suala la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi lilishatungiwa sheria na "hakuna mwingine yeyote awezaye kulibadilisha"; serikali itaendelea kubaki Dodoma ni issue ambayo imesilibwa kwa "mihuri ya moto".
Kwani amekufa na Serikali yote?.Si wamebaki watakaoendeleza mipango yake?!!.
Kwani nimekaa kwa kufanya nini?Ukae sasa kwa kutulia, ndo utajua hujui!
profesa Jay aliimba ....majibu mbele ya safari hizo ni project za muda mrefu....Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu.
Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi nyeti za serikali pamoja na rais na viongozi wakuu wa serikali kuhamia Dodoma.
Jee baada ya kifo chake ari na kasi ya kuifanya Dodoma kua mji wa Serikali na makao makuu itaendelea?
Hawa ma nyumbu wa huko dodoma hawatachelewa kuibadilisha hiyo sheria na hawashindwi wakiamua... tulishaambiwa suala la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi lilishatungiwa sheria na "hakuna mwingine yeyote awezaye kulibadilisha"; serikali itaendelea kubaki Dodoma ni issue ambayo imesilibwa kwa "mihuri ya moto".
Yani yeye kama anakuona vile Mara ukae Mara usimame ukawashe TBC,Mara uzime,.Mara uingie jf humu.Kwani nimekaa kwa kufanya nini?