Yaende kwa awamu.Huwezi wanyima watoto haki zao mfano shule,matibabu, chakula,nk eti unajenga nyumba nyingine ya kuishi hali uliyonayo ni toshelevu.cha msingi umekisema kweli kwamba TUSAMEHE - ni kweli wengi wameumia mno ila kusamehe ni moja na nguzo katika dini zetu - tumekwishalifanya hilo, ila masuala ya kupokelewa huko mbinguni sisi hatuna mamlaka nalo ni Mungu baba Mwenyezi ndiyo atashughulika nalo.
Ila haya ma project mengine yasiyokuwa na tija kwa taifa - tusameheane.
