... umenikumbusha habari ya midege; sijui itaendelea kuwa na ile chapa maarufu ya HAPA KAZI TU?....
Ila nafikiri kwa Project zenye manufaa kwa taifa hasa hizi mbili SGR na Bwawa la Umeme basi tuzimalizie tu - zingine zisizo na tija tuachane nazo - ile midege mikubwa iliyopaki tunaweza kuiazimisha kwenye airline nyingine.. nk
YEYE HAYUPO LAZMA TUFATE ALICHOTAKA YEYEKwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu.
Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi nyeti za serikali pamoja na rais na viongozi wakuu wa serikali kuhamia Dodoma.
Jee baada ya kifo chake ari na kasi ya kuifanya Dodoma kua mji wa Serikali na makao makuu itaendelea?
wote walipewa vijanja wajenge.... nafikiri waliokwisha kuchimba msingi ni wa ushelisheli, comoro na malawi - ha ha haHivi kuna nchi ya maana ambayo ilikua ishahamishia ubalozi wake Dodoma?
Athubutu imeisha hiyooooo!!Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu.
Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi nyeti za serikali pamoja na rais na viongozi wakuu wa serikali kuhamia Dodoma.
Jee baada ya kifo chake ari na kasi ya kuifanya Dodoma kua mji wa Serikali na makao makuu itaendelea?
Pole sana, Samia huenda akafanya usiyoyapenda zaidi.Hayakuwa maamuzi sahihi ya kupeleka watu kule Dodoma ndoa zimevunjika watu wamekufa kwa presha kisa mtu anataka sifa tu eti kafanya kitu ambacho Baba wa Taifa alishindwa matokeo yake anawapeleka watu kule yeye anakimbilia kutibiwa Dar, tulikosea sana watanzania
Mi naona SGR iishie Dodoma..tuendelee na mambo mengine , kulishana michicha kisa SGR mi hapana kabisaitategemea na utashi wa Mama yetu na wasaidizi wake wa karibu - hata kama ni kurudi Dar basi itakuwa kwa style ya kimya kimya - si lazima hadi utangaziwe !!
Ila nafikiri kwa Project zenye manufaa kwa taifa hasa hizi mbili SGR na Bwawa la Umeme basi tuzimalizie tu - zingine zisizo na tija tuachane nazo - ile midege mikubwa iliyopaki tunaweza kuiazimisha kwenye airline nyingine.. nk
cha msingi umekisema kweli kwamba TUSAMEHE - ni kweli wengi wameumia mno ila kusamehe ni moja na nguzo katika dini zetu - tumekwishalifanya hilo, ila masuala ya kupokelewa huko mbinguni sisi hatuna mamlaka nalo ni Mungu baba Mwenyezi ndiyo atashughulika nalo.iPamoja na yote yashapita tusamehee tumuombe dua njema Mungu ampokee.
Tumjengee mnara wa kumbukumbu.Tutazame mema yakeu
Duh, ww ni kiazi kweli, imagine ndio uwe Raisitategemea na utashi wa Mama yetu na wasaidizi wake wa karibu - hata kama ni kurudi Dar basi itakuwa kwa style ya kimya kimya - si lazima hadi utangaziwe !!
Ila nafikiri kwa Project zenye manufaa kwa taifa hasa hizi mbili SGR na Bwawa la Umeme basi tuzimalizie tu - zingine zisizo na tija tuachane nazo - ile midege mikubwa iliyopaki tunaweza kuiazimisha kwenye airline nyingine.. nk
Ikulu ya dodoma igeuzwe chuo kikuu cha ufundi afrika mashariki itoe elimu kuanzia veta Hadi PhD.Ikulu mbili ni gharama ibakie ya dar tu.
Uwanja wa ndege wa Chato wapewe jeshi Ili isipotee.Uitwe Magufuli airwing.
kwa hiyo unataka tuendelee kujenga hospitali ya Rufaa Chato?, tuendelee kujenga chuo kikuu chato? hiyo ndiyo busara ya kwako? tuendelee kuruhusu midege iendelee kupaki viwanja vya ndege tu kwa hasara kubwa - hivi wewe unajua gharama ya dream-liner moja kupaki kwa siku ?Duh, ww ni kiazi kweli, imagine ndio uwe Rais
Ishu ya dodoma ni outdated kwa ulimwengu wa kisasa,labda tu kama ilitumika kutakasishia Kodi zetu na kuukimbia mzimu wa ben 8 dar.Lkn Si mantiki kiuchumi.Pia aliitelekeza akaanza kuijenga Chato huku akiiwaza Karagwe pia.Pesa zetu nyingi Sana zimepotea kusipotija.Mawazo yako ni sahihi , Dar ilikuwa imeshajitosheleza kufanya reallocation ya funds kumeleta matatizo mengi Sana , na Kwa urahisi wa mawasiliano uliopo kulikuwa hamna haja tena , just to open zones .... Kiufupi Maghufuli alikuwa na mawazo ya kijima Sana
Kwani amekufa na Serikali yote?.Si wamebaki watakaoendeleza mipango yake?!!.Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu.
Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi nyeti za serikali pamoja na rais na viongozi wakuu wa serikali kuhamia Dodoma.
Jee baada ya kifo chake ari na kasi ya kuifanya Dodoma kua mji wa Serikali na makao makuu itaendelea?
Hakukosea Mkuu hiyo mipango ilikuwepo tangu enzi za Nyerere.Hayakuwa maamuzi sahihi ya kupeleka watu kule Dodoma ndoa zimevunjika watu wamekufa kwa presha kisa mtu anataka sifa tu eti kafanya kitu ambacho Baba wa Taifa alishindwa matokeo yake anawapeleka watu kule yeye anakimbilia kutibiwa Dar, tulikosea sana watanzania
Wewe unajua gharama zake, au hazina wamekwambia hizo gharama hawazimudu.kwa hiyo unataka tuendelee kujenga hospitali ya Rufaa Chato?, tuendelee kujenga chuo kikuu chato? hiyo ndiyo busara ya kwako? tuendelee kuruhusu midege iendelee kupaki viwanja vya ndege tu kwa hasara kubwa - hivi wewe unajua gharama ya dream-liner moja kupaki kwa siku ?
Sawa,wazo lako tutalifikiria.Ile idea ya kufanya mji .Wa serikari .Dodoma kwa jina lake la MAGUFULI CITY LIENZIWE.
Mengine Ni ZIADA TUU .