Serikali isaidie kuhalalisha pombe za kijadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali isaidie kuhalalisha pombe za kijadi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jan 10, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi naleta mjadala tata lakini wenye mantiki.

  Ni kuhusu kutengeza vifaa vya kisasa kutengenza gongo na pombe za kijadi. Tuna kasumba ya kudharua bidhaa zetu zasili napombe zimekuwa zinaitwa za kienyeji nadhani neno sahihini vinjwai vya kijadi.

  Mnaonaje serikali ikiweka sera ya kuweka standard ya vipimo wadau wengine wakatengeneza vifaa vya kisasavya kufanya distilation na hatua nyingine vinywaji hivi vinavyopitiampka kuwa tayari kutumiwa. The mtu kijijini akapata kibali maalum kuwa uzalishaji wake umekidhi viwango na kuruhusu vinywaji hivi viingine kwenye soko kihalali.


  Nimesoma ulaya kuna watu wanatengeza wine kihalali majumbani kwa niniisiwe kwa gongo na vinwaji vingine. visihalalishwe.


  • Je utengezaji wa vinwaji vya kijadi hautmii teknolojia.?
  • Je Kuna tatzo ganikatika teknolojia inayotumika?
  • Nini kifanyike ?
  • Je unaunga mkono kuwepo na viwnada vidogo vya kuengeneza vifaa vya kisasa kutengenza pombe za kijadi.?
  • Kama ndio au hapana kwa nini?
  • Serikali ifanye nini kukuza viwanda vya ndani sehemu za vijijini. u viwanda vinatakiwa kuwa mijini tu.
  Tujadiliane
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani mjadala utuelimishe kuhusu hivi vinywaji ni vipi, the raw materials used, na sana sana hupatikana wapi. Na kwa wale wanaofahamu the processes ambazo zinatumika kuzitengeneza waweke somo hapa. I think from that kind of data, watu wataweza kujua kama production processes zinaweza kuwa mechanised etc etc.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  kwa kweli hata mimi sijui lakini nimewai kufanikiwa kuona polisi vifaa vinavyoitwa mitambo ya kutengenza gongo kimtiriko inakujua picha ya ile distiallation au fermentation process tulizofundishwa chemitry O level.

  Vifaa Ni masufuria au mapipa yaliyokwata yenye mirija. na kupata juiceya matunda watu wanatumia miguu

  Nilichomabiwa wahaya "kaitaba" ndiyo gongo yao inatokana na ndizi. Hii nimewai kuioja nakuona process za mwanzo kabisa nilivyoenda kwenye msiba wa rafiki yangu 1ja.

  kifupi ndizi mbivu zinakanyagwa kanywa kwa miguu kwenye kifaa kama mtumbwi. inatoka juice tamu tu . Baaa ya hapo wanachanganya na mtama ndhani ile juice inakuwa rubisi.hiyo rubisi ikikaa siku inazidi kuwa chachu na chungu. Sasa kutokana na rubisi ndio gongo au kaitaba inapatikana lakini sikuona kaitaba inavyotengenezwa. lakini inatokana na rubisi

  Tukipata watu waka tuleza lakini nachoamini wataalmu wakitengeza vifaa vya kisasa na serikali ikaweka standard vinywaji hivi vitawasiidia wengi kihalali.

  Tatizo watu wataogopa kutoa mchango waonekane hawajawai kuonja au hawajui hii kitu inavyotengenezwa.

  NB:
  kwa hiyo untaona hata process ya mwanzo katika kutengenza kaitaba amabyo ni kutengenza jiuce inakuwa na sio hygenic sana. kama nimekosea malezo nakubali kusahihishwa.
   
 4. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio muhimu wa kujua processes na hapo technologies zilizopo hata kama zipo intended for a different application zinaweza kuigwa na kutumika. Kama mfano huo wa KAITABA. Nadhani cha muhimu ni hizo processes kuwekwa kwenye hadhi ya commercial production.
  Cha msingi ni kuwa market ya hii mali ipo, na inatumika sana. Tunachosema hapa ni kupenda vyetu (tunatumia Vodka's from all over the world ambayo ndio hiyou hiyo process inatumika), kuendeleza investment:- Mkulima anapata market, vijana wanapata ajira, Transporter anapata income, ajira kwake inadumishwa, Wholesaler anapata income, ajira kwake inadumishwa, Shop owner/bar owner/Sherehe organiser naye anapata income na mwisho mtumiaji anapata hiyo mali na kuburudika.

  Sasa jumlisha hiyo ajira na income inayopatikana in such a process as compared to :- Importer anaagiza mali nje, sana sana labda atawauzia wholesalers and from there mtumiaji anamalizia. hatujajenga economy stadi from this later example, ila tu kutumia. This example ni kwa mali aina zote zinazotumika nchini, kama inaweza kutengenezwa nchini, ni heri tuwape support hao local producers, tuwahimize waboreshe their quality etc na hapo kweli maneno maneno about economy na % inflations, bei kupanda na kushuka hapa nchini will make more sense.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mkuu hope ungekuwa one of decison makers

  Tatizo ndio hili sisi wenyewe tumefanywa kuzidharau bidhaa zetu na tunaona wanasiasa wanaona hata aibu kuwa wazelndo wa kuanzisha initiative ya kuboresha hivi vinwaji vyetu asilia. Shame on us.
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu inawezekana lakini changamoto ni nyingi kweli, maana hapa tz almost kila kabila linapombe yake ya asili.6¦6Pia utofauti wa utengenezaji na jinsi ya kuweka hizo standards, mfano utengenezaji wa lubisi ni tofauti kabisa na mnazi, kangara na pombe ya mianzi nk.6¦6
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kweli lakini nina uhakika pprocess za pombe zote ni zile zile. Lazima zichachushwe au kama ziozeshwe kama sikosei kikemia process inaitwa fermatation . Ikifutulia sana hazitofutiani na process kama ya beer.Ni watu kupew viwaa vya bei nafuu na vya kisasa vyenye hygenic watu vinywaji hivi vifike mjini bila woga.

  Wasukuma wanaweza kutumia mahindi, wazramu wakatumia mnazi but process naaamin ni ile ile wa hiyo hata vifaa vitavyohitajika ni kama vile vile. Ni kama beer kuna Safari kilimanjaro etc lakini mfumo zinaopitia kutengenzwa hautofautiani

  Teh Teh Teh.
   
 8. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji.
  Decision making nadhani nitashindwa, hasira nyingi sana nisijepata high blood pressure bure :smile-big:.

  Seriously, we as a nation inabidi kweli tujitahidi kukuza uchumi wetu, stop this buying and selling (Uchuuzi) mode of business in everything that we consume for it does not really create value in the economy. Mtu mmoja pekee kunufaika in the transaction is not really building an economy. What we end up having is sub standard items flooding the market, why? Kwanza hatujajenga soko la vitu vyetu, pili, whatever the business people find in their wholesale source, hovewer sub standard it is we are happy to buy this crap at whatever price.
  tatu, tunabaki kuwaogopa watu wote kuwa mafisadi.... why.... we have created a situation where legitimate business people are the only ones actually in the economy wakizungusha hela yao na wakawa matajiri kupindukia. Sisemi kuwa wote mafisadi, but I mean it has now been assumed that all the wealthy would be fisadi's.

  On sub standard goods. MTANZANIA kataa kununua hiyo mali, mwachie huyo importer abaki nayo anaiangalia kila siku, next time they go to China or whatever, watajua kuwa back home only quality will sell, na hapo tutamalizana na hii issue of low standard goods.

  A true economy has the various levels of production in its system, production, value adding, distribution, marketing and eventually reaching the end user. If you cut out several levels of that chain in almost everything you do then, inabaki kuwa a CONSUMPTION economy.

  Back to the topic at hand
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  huku uheheni kuna pombe inaitwa komoni process zake huanza kama ifuatavyo:-
  1) mahindi hulowekwa kwa mbaka yatoe vimelea
  2) yakishatoa vimelea huanikwa mbaka yakauke
  3)mahindi yanapokauka kuna kuna chachu iliyotengenezwa kwa ulezi huandaliwa
  4)mahindi yakikauka kabisa hupikwa kutengeneza togwa
  5)togwa ikishaiva hupoozwa kisha ikishapoa huchanganywa na chachu kisha huchujwa tiyari kwa kunywewa.
   
Loading...