Serikali ipunguze ombaomba kwa wafanyabiashara

Magufuli hajiwezi kakata pumzi uchumi ndio umeondoka kaingia treasury kwa mikono yake kaanza kutoa mapesa kuhonga jaji mkuu ooh mara barabara mwanza haiku kwenye bajeti mara Mwenge Morocco mara kuhamia Dodoma unategemea attacha kuomba kwa wafanya biashara unaambiwa uchumi umeshuka kwa ointi saba ,sasa ngoja wote tuishi kama mashetani huku maskini wa bukoba wakijutia kutekelezwa
Unauhakika kahonga? Hakiba ya maneno muhimu
 
Magufuli hajiwezi kakata pumzi uchumi ndio umeondoka kaingia treasury kwa mikono yake kaanza kutoa mapesa kuhonga jaji mkuu ooh mara barabara mwanza haiku kwenye bajeti mara Mwenge Morocco mara kuhamia Dodoma unategemea attacha kuomba kwa wafanya biashara unaambiwa uchumi umeshuka kwa ointi saba ,sasa ngoja wote tuishi kama mashetani huku maskini wa bukoba wakijutia kutekelezwa
Mara katoa maburunguti ya hela kwa mashekhe.. Vurugu tupu
 
Siasa za matukio,upinzani Tanzania ikulu mtaisilkia redioni
Mnatumia maafa kuinanga serikali,wakati hata nchi tajiri zikipatwa na majanga zinaomba misaada
Hili tukio litapita,sijui mtakuja na lipi tena
 
Waache c waliwadharau? Mungu kawasababishia. Ngoja tuone kama watazidisha ukali tena. Ntu katoa pesa yake halafu umtishe tishe tena? Atamwambia unrudishie pesa yake
 
Siasa za matukio,upinzani Tanzania ikulu mtaisilkia redioni
Mnatumia maafa kuinanga serikali,wakati hata nchi tajiri zikipatwa na majanga zinaomba misaada
Hili tukio litapita,sijui mtakuja na lipi tena
Kwani matukio huisha bongo....??
 
Siasa za matukio,upinzani Tanzania ikulu mtaisilkia redioni
Mnatumia maafa kuinanga serikali,wakati hata nchi tajiri zikipatwa na majanga zinaomba misaada
Hili tukio litapita,sijui mtakuja na lipi tena

Hili nalo unaliweka kisiasa, wallah hatutoendelea kwa mwenendo huu,

Suala la msingi la kujiuliza kitengo cha maafa kilichopo chini ya waziri mkuu kimeanzishwa lini? Ile bajeti inayotengewa iko wapi? Je imetumikaje hapa? Tunapoongelea maisha ya watanzania wenzetu weka siasa pembeni...

Serikali kuomba isaidiwe si shida, je serikali imehitoaje kwenye hilo janga katika suala la kifedha? Nchi hii ina miaka zaidi ya 50 inakosaje akiba ya hata bilioni moja tu katika akiba yake ya mfuko wa majanga.

Sasa naona kuna tija kubwa kabisa ya huu mfuko wa majanga kutajwa una kiasi gani kila mwaka ili tujue tunasimama wapi yatokeapo majanga
 
1473828522064.jpg
 
Tulianza na madawati wakaomba sikuona mchango wa serikali

Jambo la dharula la tetemeko nalo wanaanza kwa kuomba omba..

Nchi ya viwanda hii hawaombi bali wanailazimisha mifuko ya jamii kujenga viwanda wapate faida au hasara its up to them.

Serikali msikimbie majukumu, haya ndio majukumu ya baba mwenye nyumba.

1473828557978.jpg
timu ya omba omba
Serikali kuu
Tawala za mikoa
Halmashauri
Serikali za mitaa
Mkulu?
Mkulu msaidizi?
Mawaziri
Viongozi mbalimbali
Wabunge nknk
1473828792153.jpg
kila mtu na bakuli lake..ni kansa iliyoenea sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Tulianza na madawati wakaomba sikuona mchango wa serikali

Jambo la dharula la tetemeko nalo wanaanza kwa kuomba omba..

Nchi ya viwanda hii hawaombi bali wanailazimisha mifuko ya jamii kujenga viwanda wapate faida au hasara its up to them.

Serikali msikimbie majukumu, haya ndio majukumu ya baba mwenye nyumba.
Hamna nchi dunian ambayo huwa haitegemei matajiri wake katk kufanikisha baadh ya mambo yake elewa ivo
 
Si alijidai masikini jeuri??? Analete Mishe za kishamba za Usukumani, labda aliufananisha uongozi wa kuongoza nchi na familia yake, ndo maana anapeleka mambo kibabe kibabe, ngoja akome.
 
Back
Top Bottom