Serikali ipunguze ombaomba kwa wafanyabiashara

Serikali ipunguze ombaomba kwa wafanyabiashara

Chillo97

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
630
Reaction score
933
Tulianza na madawati wakaomba sikuona mchango wa serikali

Jambo la dharula la tetemeko nalo wanaanza kwa kuomba omba..

Nchi ya viwanda hii hawaombi bali wanailazimisha mifuko ya jamii kujenga viwanda wapate faida au hasara its up to them.

Serikali msikimbie majukumu, haya ndio majukumu ya baba mwenye nyumba.
 
" Serikali yangu ni Tajiri "
 
Kodi wanakusanya na kutapanya kwa ajili ya kudhibiti wapinzani kwa nguvu kubwa, hizo pesa ndio zingetumika kwenye mambo kama haya
 
Mimi nishasema sitoi hata senti tano kwa wahanga au michango ya kuomba omba ya serikali hii ambayo kila kukisha wanapiga vita civil liberties zetu za kuongea na kutoa mawazo.

Mwezi mmoja tuu wa 8 walitumia zaidi ya Billion 20 kwenye propaganda za kuziak ukase na babe kwa akina Tindu lissu

sasa iweje leo washindwe kutoa pesa za kusaidia wahanga?

Pesa za dharura wanazo sasa ya nini kuwabana wananchi ambao wanalipa kodi za kila namna?

kama wakisosa pesa bas wasamehe mishahara yao kuanzia Magufuli mpaka madiwani wake bila kusahau pesa za Mwenge kuwasaidia wahanga wa Bukoba na Kagera

lakini mimi suntan yangu hawapati na sishauri mtu atoe pesa zake wala kushiriki kwenye haya mambo ya kuchangishwa mapesa kama maandamano na matamasha
 
Magufuli hajiwezi kakata pumzi uchumi ndio umeondoka kaingia treasury kwa mikono yake kaanza kutoa mapesa kuhonga jaji mkuu ooh mara barabara mwanza haiku kwenye bajeti mara Mwenge Morocco mara kuhamia Dodoma unategemea attacha kuomba kwa wafanya biashara unaambiwa uchumi umeshuka kwa ointi saba ,sasa ngoja wote tuishi kama mashetani huku maskini wa bukoba wakijutia kutekelezwa
 
Back
Top Bottom