Serikali ipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi

Napinga hoja bali serikali ipunguze gharama za kuwahudumia viongozi ipeleke pesa kwenye kutoa ajira zaidi. Ofisi nyingi za serikali kuna upungufu mkubwa wa watumishi
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Kutegemea serikali kwenye ajira ni kukosa kujua hesabu.

Serikali inaajiri watu wachache sana kwa asilimia, ukiangalia wimbi la mamilioni ya watu wasio na kazi Tanzania.

Serikali, ukijumlisha mpaka mashirika ya umma, ina wafanyakazi kadiri ya 500,000 tu, katika nchi yenye watu takriban milioni 65.

Mwaka 2021 tu, wanafunzi 54,000 walihitimu vyuo vikuu. Hapo hatujahesabu vyuo vya ufundi na shule za sekondari. Ukiwaweka wote hao pamoja, unaweza kujikuta kwa nwaka una wahitimu wengi kulikonwafanyakazi wote wa serikali.

Na karibu kila sehemu, serikali si muajiri mkubwa, muajiri mkubwa ni sekta binafsi.

Kama unataka kutatua tatizo la ajira, angalia sekta binafsi, usiangalie kazi za serikali.
 
Wewe unashauri nini kifanyike ili kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini mkuu? Pia unapaswa kutambua kuwa sheria ya kustaafu katika umri wa miaka 60 ni kwa nchi nzima....sekta ya umma na binafsi......na hii ndiyo hoja ya mtoa post. Sijui wewe una maoni gani mkuu.
 
Kwanza kabisa, serikali isiingilie kuweka umri wa kustaafu wa lazima katika sekta binafsi.

Yani mimi niwe na gazeti langu la kuandika historia ya wanajeshi waliopigana vita vikuu vya pili vya dunia, nawatafuta wazee waliopigana vita hiyo wawe wafanya kazi wangu, maana wao ndio wanaokumbuka maisha wakati wa vita hiyo, halafu serikali iniwekee kikomo cha wafanyakazi wangu wawe na miaka 60, watu ambao wamezaliwa baada ya vita hiyo?

Huoni hapo kikomo hicho cha serikali kinaingilia uhuru na ufanisi wa kazi zangu?

Kadiri watu wanavyozidi kuishi zaidi, kwa sababu tuna madawa zaidi, usafi zaidi, usomi zaidi, ndivyo umri wa kustaafu unavyotakiwa kuongezwa, siyo kupunguzwa, hata serikalini. Watu wawe na uchaguzi wastaafu au wasistaafu.

Tatizo la kung'ang'ania sana kazi za serikali linatokana na ukosefu wa kazi sekta binafsi. Kungekuwa na kazi bwerere sekta binafsi, watu wasingeng'ang'ania kazi serikalini.

Nilikuwa naongea na Duval Patrick. Huyu bwana alikuwa governor wa Massachusetts, jimbo la Marekani. Alikuwa rafiki yake sana Obama. Jamaa alikuwa gavana kwa terms mbili, watu walikuwa wanampenda bado, alikuwa anaweza kugombea term ya tatu, hakukuwa na term limits. Lakini akakataa kugombea tena.

Alisema kazi ya serikali ni ya wito. Amefanya kwa kujitolea, na kwa kweli, amepoteza pesa kwa kufanya kazi ya serikali, maana angekuwa lawyer (yeye ni lawyer by training) kwenye sekta binafsi angepata hela zaidi ya alizopata akiwa gavana. Kwa hiyo, anawapisha wengine nao wafanye kazi ya serikali.

Ukiondoa rushwa na kuweka mazingira mazuri ya biashara, watu watazikimbia kazi za serikali. Hazina mishahara mikubwa. Kama si moyo wa kujitolea tu, watu wanafuata rushwa tu.

Huko kwenye changamoto za ajira, uchumi unatakiwa kuwa inclusive, si exclusive, transparent, si opaque, open, si closed. Watu wanatakiwa wapewe elimu zaidi. Wapewe incentive. Ukimwambia kijana kilimo kinalipa, aone kinalipa kweli kwa vitendo, kuwe na support structures, sio mtu anaachiwa a fail tu halafu alaumiwe.

Sasa hivi Watanzania wanakosa fursa za kimataifa mitandaoni kwa kutojua Kiingereza tu. Something as simple as a call center could provide a lot of employment. Kenyans are doing that. The Ghanaians are doing that.

Huhitaji kujua computer coding kufanya kazi katika call center, unahitaji kujua Kiingereza na kuwa na nidhamu ya kufuata script tu, labda na kujua kutumia computer, kitu ambacho wengi wanaweza siku hizi.

Manufacturing is another area. Tuna vitu vingi vya ku add value, lakini tuna export raw cashews, raw hide, raw everything. Hatuwezi kuongeza ajira kama hatuna viwanda vya ku add value.

Lakini viongozi wetu wangapi wanaangalia hili? Unawezaje kuanzisha call center katika nchi ambayo hata umeme hautabiriki?

So, tutatue matatizo ya msingi hayo ya umeme, elimu, nidhamu, utamaduni, tutakaa sawa tu.
 
Hawana cha kuwalipa wastaafu, labda washauri wapunguze zaidi asilimia ya kikokotoo iwe 15%.
 
Kwanza kabisa, serikali isiingilie kuweka umri wa kustaafu wa lazima katika sekta binafsi.

Yani mimi niwe na gazeti langu la kuandika historia ya wanajeshi waliopigana vita vikuu vya pili vya dunia, nawatafuta wazee waliopigana vita hiyo wawe wafanya kazi wangu, maana wao ndio wanaokumbuka maisha wakati wa vita hiyo, halafu serikali iniwekee kikomo cha wafanyakazi wangu wawe na miaka 60, watu ambao wamezaliwa baada ya vita hiyo?

Huoni hapo kikomo hicho cha serikali kinaingilia uhuru na ufanisi wa kazi zangu?

Kadiri watu wanavyozidi kuishi zaidi, kwa sababu tuna madawa zaidi, usafi zaidi, usomi zaidi, ndivyo umri wa kustaafu unavyotakiwa kuongezwa, siyo kupunguzwa, hata serikalini. Watu wawe na uchaguzi wastaafu au wasistaafu.

Tatizo la kung'ang'ania sana kazi za serikali linatokana na ukosefu wa kazi sekta binafsi. Kungekuwa na kazi bwerere sekta binafsi, watu wasingeng'ang'ania kazi serikalini.

Nilikuwa naongea na Duval Patrick. Huyu bwana alikuwa governor wa Massachusetts, jimbo la Marekani. Alikuwa rafiki yake sana Obama. Jamaa alikuwa gavana kwa terms mbili, watu walikuwa wanampenda bado, alikuwa anaweza kugombea term ya tatu, hakukuwa na term limits. Lakini akakataa kugombea tena.

Alisema kazi ya serikali ni ya wito. Amefanya kwa kujitolea, na kwa kweli, amepoteza pesa kwa kufanya kazi ya serikali, maana angekuwa lawyer (yeye ni lawyer by training) kwenye sekta binafsi angepata hela zaidi ya alizopata akiwa gavana. Kwa hiyo, anawapisha wengine nao wafanye kazi ya serikali.

Ukiondoa rushwa na kuweka mazingira mazuri ya biashara, watu watazikimbia kazi za serikali. Hazina mishahara mikubwa. Kama si moyo wa kujitolea tu, watu wanafuata rushwa tu.

Huko kwenye changamoto za ajira, uchumi unatakiwa kuwa inclusive, si exclusive, transparent, si opaque, open, si closed. Watu wanatakiwa wapewe elimu zaidi. Wapewe incentive. Ukimwambia kijana kilimo kinalipa, aone kinalipa kweli kwa vitendo, kuwe na support structures, sio ntu anaachuwa a fail tu halafu alaumiwe.

Sasa hivi Watanzania wanakosa fursa za kimataifa mitandaoni kwa kutojua Kiingereza tu. Something as simple as a call center could provide a lot of employment. Kenyans are doing that. The Ghanaians are doing that.

Huhitaji kujua computer coding kufanya kazi katika call center, unahitaji kujua Kiingereza na kuwa na nidhamu ya kufuata script tu, labda na kujua kutumia computer, kitu ambacho wengi wanaweza siku hizi.

Manufacturing is another area. Tuna vitu vingi vya ku add vakue, lakini tuna export raw cashews, raw hide, raw everything. Hatuwezi kuongeza ajira kama hatuna viwanda vya ku add value.

Lakini viongozi wetu wangapi wanaangalia hili? Unawezaje kuanzisha call center katika nchi ambayo hata umeme hautabiriki?

So, tutatue matatizo ya msingi hayo ya umeme, elimu, nidhamu, utamaduni, tutakaa sawa tu.
Deep sana hii.
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Hili halitapunguza ukosefu wa ajira kwa asilimia 100.Idadi ya wanaostaafu ni wachache kuliko wanaomaliza vyuo
 
Back
Top Bottom