MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,047
- 2,239
Duuuuh hadi mkaa unauzwa nje? Mhe. Makamba atakuwa amepata ujumbe huu
Nani? Anajua kwamba ni uharibifu wa mazingira kweli? Elimu yake haimruhusu kufahamu makubwa haya!
Duuuuh hadi mkaa unauzwa nje? Mhe. Makamba atakuwa amepata ujumbe huu
Nani? Anajua kwamba ni uharibifu wa mazingira kweli? Elimu yake haimruhusu kufahamu makubwa haya!
Ni vizuri serikali ikapiga marufuku kabisa uuzwaji wa mkaa nje ya nchi na iwe haramu kama ilivyo meno ya Tembo.
mkaa unao uzwa nje umewatajirisha wageni zaidi nilisoma gazeti la Sunday Nation walisema mkaa wa Tanzania kwa kupitia Kenya.Unakwenda Somali na ukifka Somalia unauzwa hadi Europe na Asia na kuna watu huko Somalia ni mamilionea.
Sasa mkaa huu kwa kweli unamaliza misitu yetu,,na vile vile kupandisha bei ya mkaa unaouzwa ndani.
nafikiri sasa serikali ipige marufuku uuzwaji wa mkaa kwenda nje ya nchi na mkaa unaokwenda Zanzibar utazamwe usiwe ndo upenyo wa mkaa kwenda Asia.
Hili ni muhimu kwa kulinda mazingira yetu mvua,umeme,na misitu na mazingira kwa ujumla.
Sijui umegunduaje kwamba ni mkaa wa TZ. Biashara ya kuuza mkaa kwa afrika inafanywa na Nigeria na Sudan. Wao wanauza nje kwa ruhusa kanisa ya serikali zao. Somalia ni biasahara yao haramu inayofanywa na Al shabaab. Hapa kwetu pia sehemu ya mkaa unapelekwa Rwanda ambao kwao hairuhusiwi kukata mti na wakati huo huo wanajidai wanatimiza mahitaji yao yote ya mkaa kwa kutumia miti ya kupandwa.
Mkaa wa Alshaabaab unatoka Kenya
na Kenya mkaa wao asilimia kubwa unatoka kwetu TZ...very simple hii mbona?
Ok! Haya mambo ya mkaa yana matatizo kwa sababu biashara hizi haziwekewi rekodi. Kenya wana sheria yao inayokatza kukata mkaa, lakini hawazuiliwi kutumia mkaa. Upande wetu usimamizi wa misitu ni mbovu.
kwa upande wa somalia, mkaa wao umetumika sana kununulia siraha na wanapeleka ghuba kupitia kisimayu. Bahati mbaya kisimayu imeshikiliwa na askari wa kenya ambao pia wanapata kitu kidogo ili waruhusu biashara haramu. Wao hawakubali lakini hiyo ndo kweli ya nchi.
kwa Nigeria, sudan na baadhi ya nchi za west africa, hiyo ni biashara halali ya export.
ishatufikia na nimejaribu kuijibu ila sijaiona kama imekuwa publishedSijui kama kweli wamesikia
i hope so...