Ugonjwa ulikuwa mkali sana. Huko Kagera uliua watu na kuacha wazee na watoto.Je zamani miaka ya 90s wakati ARV hazipo, ugonjwa wa ukimwi ulikuwa haupo Tanzania?
Ukimwi bila ARV ni hatari sana. Kwanza nguvu kazi itapotea maana ukianza kuumwa, unakuwa mzigo kwa familia.
Wataalamu wenye Ukimwi watakufa nchi itapata anguko kubwa.
ARV zinasogeza siku za kuishi na maisha yanaendelea.
Kikubwa ni kuweka sheria kali kwa wanaoambukiza Ukimwi kwa makusudi.
Tanzania baadhi ya watu hawapo siriasi. Watu wanafanya ngono zembe. Kwani kuna ubaya gani ukipata mpenzi na kupima Ukimwi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app