Hhahahahaa, umenivunja mbavu, ila haya mamtu kweli mashenzi sana.Tukubaliane kabisa wanasiasa wanatupoteza, haiwezekani kila kitu dar pamoja na wao kuwa na majimbo huko vijijin ila wanakaa hapa mjini, yan haya majamaa siyapend niwe mkweli tu, utakuaje mbunge wa rombo unakaa daslama ? Leo si Alhamis mkuu ukienda masaki sehemu za starehe utayakuta tu mkuu..
Alafu ile ishue ya maji mkuu iko hivi mimi experince yangu, nlikuwa nakaa ilala sawa kule maji ni tatizo ila saiv nakaa kinondoni karibu na hizo sehemu ulizosema maji yakikatika yanakatika kama mkoani tu yan onetime chap alafu yanarud na I have three years in Kino, daah nchi inavituko hii.. Hata umeme haukatiki kiboya huku kino, si wakuu wote wapo huku mkuu, me nnachokuomba tupambane kutafuta hela haya majitu yanatumaliza taratibu na roho inaniumaga unakuta jitu barabaran linawashangilia aisee alafu paadae anakutumia msg ka kukukopa nawakaushiaga tu aisee, si tunapigwa na jua ye kazi yake kushangilia majitu ya ushuani huko kisa yamepewa ten ten 🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hhahahahaa, umenivunja mbavu, ila haya mamtu kweli mashenzi sana.
Mimi nadhani hakuna ubishi wala kutaka kushindanisha Dar na sehemu yoyote. Dar itabaki kuwa kitovu cha biashara siku zote na mji mkubwa ila kuwa mji mkubwa sio kigezo cha kuwa mji mkuu hapa ndio kwanza wanahamisha mji. Dar ina changamoto nyingi kama mikoa mingine kinacholeta uhai Dar ni bandari na Airport wingi wa watu ni fursa za kiuchumi nyingi. Ila ni ukweli hatuwezi watu wote Million 45 tuishi Dar Tanzania kubwa na fusra pia kule ziko. Mji mkuu umeshahamia Dodoma tupende tusipende mambo yale ya zamani kila kitu mpaka uende Dar yameisha na hilo linawauma sana watu wa Dar. Mbaya zaidi wengi asilimia kubwa wenyeji wa Dar wachache wengi kutoka mikoani huwezi kutukana kwenu kama maisha yako unayapatia Dar vizuri kama sijui Morogoro poa tu siwezi kwenda kukaa Dar sina shughuli muhimu niko Dar mambo ya zamani hayo maisha kokote. Dar utabaki mji wa biashara na Dodoma makao makuu. kama wenzetu tu Lagos na Abuja au USA Newyork na Washington mbona kawaida.
Nivigumu sana ikulu kuwa Dodoma. Magogoni ni rahc ku escape. Sasa kule kwa wagogo njia ni mbili2 anga na nchi kavu
system error occurred[emoji3544]
Kwa dodoma sawa ila sio kwa dar...Wakazi wa mitaa ile ya ikulu niliona siku 1 tbc1 wakiomba waunganishwe na huduma ya maji duuh nikasema tu hiiiiiiiiiii.
dodge
Ni kwa dodoma mkuu.Kwa dodoma sawa ila sio kwa dar...
Watu miili ipo dodoma ila roho zote zipo dar..
Sent using Jamii Forums mobile app
Magogoni ni rahisi kuuawa kwani wazungu wakituma nyambizi submarine na drone zao ni rahisi kuleta maafa kisha wakatokomea baharini, Dodoma pako salama kuliko hapo Dsm
Kila mtu anasema Dodoma shida, lakini hamsemi shida gani. Acheni kuishi kwa mazoea. Mikoa mingi iko vizuri sana kuliko Dar. Ni kutofahamu tu. Hakuna mkoa wenye standard ya chini ya maisha kwa sasa kama Dar.
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Ni kwa sababu hizo shughuli zimemkuta akiwa Dar ndio maana, lakini Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr. John Pombe Joseph Magufuli imehamia Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa sababu hizo shughuli zimemkuta akiwa Dar ndio maana, lakini Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr. John Pombe Joseph Magufuli imehamia Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mifumo ya mawasiliano E Gov , ugatuzi madaraka, mbali ya Wabunge nani Mtanzania anahitaji kufika wizarani kwa lipi!?Tumepoteza pesa bure maamuzi Dom, hapakuwa na uhitaji as planned earlier.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi umefika asiporudi je? Siasa ni upepo hio ikulu ya dodoma ataikalia lini?Kuweni na Subira, akishazindua rasmi hiyo Interchange ya Ubungo atarejea rasmi Makao Makuu ya Nchi. Najua hata wewe mleta uzi unajua wazi utamu wa ule upepo unaovuma kutoka bahari ya Hindi.
Mwalimu kama angekuwepo asingemshauri kurudia makosa aliyoyafanya mwalimu dunia ilishahamia kwenye sector binafsi,serikali yeyeto aijawahifanya biashara ikafanikiwa.Anarudia makosa aliyofanya mwalimu badala ya kujifunza kutokana na makosa aliyofanya mwalimu.Mwalimu aliishi zama zilizopita kumuiga kwa zama hizi za vizazi visivyomjua hata kweli na sawa na kutembea kwenye fikra mfu zisizo na tija kwa ulimwengu Wa sasa.Ukiuwa demokrasia ukauwa sector binafsi kifuatacho ni uchimbe tu kaburiSisi ni waumini wa sera za mwalimu Nyerere,tutatekeleza kila alichopanga kufanya,kiwe na faida au kisiwe na faida, sasa naelewa why wazungu wanapenda kusafiri sana duniani,exposure ni darasa on its own
Ya chuo kikuu cha DodomaKila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Mkuu hayo PhD holder wetu hayajui,yeye ni bulldozzer,Bulldozzer ukishaliweka mafuta,ukaliwasha kisha ukalipiga gia lenyewe ni kupitia kila kitu kilicho mbele yake kiwe cha faida au harasa,kiwe cha dhamani au ladha lenyewe halijui, nchi yetu ina bahati mbaya kwa kweliMwalimu kama angekuwepo asingemshauri kurudia makosa aliyoyafanya mwalimu dunia ilishahamia kwenye sector binafsi,serikali yeyeto aijawahifanya biashara ikafanikiwa.Anarudia makosa aliyofanya mwalimu badala ya kujifunza kutokana na makosa aliyofanya mwalimu.Mwalimu aliishi zama zilizopita kumuiga kwa zama hizi za vizazi visivyomjua hata kweli na sawa na kutembea kwenye fikra mfu zisizo na tija kwa ulimwengu Wa sasa.Ukiuwa demokrasia ukauwa sector binafsi kifuatacho ni uchimbe tu kaburi