Thread Ya Ajabu Sana Hii
Yaani Inachoma Kama Pasi Ya Mkaa, Nimesoma Ujumbe Wake Na Michango Ya Wadau Ukweli Mtupu.
Dodoma Ni Shida, Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.
Kwa mifumo ya mawasiliano E Gov , ugatuzi madaraka, mbali ya Wabunge nani Mtanzania anahitaji kufika wizarani kwa lipi!?Tumepoteza pesa bure maamuzi Dom, hapakuwa na uhitaji as planned earlier.
Nyerere alipendekeza makao makuu kua Dodoma kwa sababu alitaka kuwapunguzia watu wanaotoka mathalani Kagera kufika Dodoma kuliko kwenda hadi Dar.
Leo hii kwa tenkolojia ya habari hii tuliyonayo unahamishia makao makuu Dodoma ili iweje? Mtu ukitaka nyaraka hahitaji kuja Dar kutoka Kigoma au mtwara.
Kati ya vitu vya maana alivyowahi kufanya Magufuli ni kuhamishia serikali Dodoma.. Hii imesaidia kupunguza idadi kubwa ya watu waliokuwa wanahamia Dar kwa kasi.. Angalau sasa Dar inapumua maana over population ilikuwa inainyemelea kwa kasi.