We huoni upumbavu wako na chama chako mlivyo.Serikali hii ya mabavu ni ya kipumbavu sana,haiambiliki
Wamechelewa kujitambua na kibaya zaidi kwa sasa hakuna kiongozi hata mmoja mwenye busara pale chadema wote pulugwe kabisi.Hii cdm sijui itajitambua lini
wangemtumia jambazi Lema kulipua mabomu na watu kuuwawa au kujeruhiwa kisha wangelisingizia jeshi la polisi.
Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa CDM lilitoka kwenye ghala la JWTZ na hii baada ya WM Pinda kuropoka bils kujua madhara yake, swali kwako hivi Lema anafanya kazi kwenye ghala lipi? Tujuze!
Wee sir Good acha njaa za kike unajifanya hujuwi ukweli?
Na wao wasipoandamana itakuwaje?