MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Ni jambo la ajabu migogoro ya ardhi nchi hii inapoteza idadi kubwa ya raia kwa kuuana na mifarakano.
Ardhi ndiyo wizara iliyo na migogoro mingi kwa raia wake kuliko wizara nyingine yeyote na hii inatokana na Halmashauri nyingi kukosa kabisa wataalamu wa Ardhi wa kutosha na hao waliopo kwa uchache wao wakaona ndio loop hole ya rushwa.
Ajabu, wataalam wanaozalishwa chuo cha Ardhi ambacho ni moja ya chuo bora barani Afrika hawaajiriwi na serikali wako tuu mitaani.
Hapo ndio unapoona serikali ya CCM haina vipaumbele vyovyote hata kama vina husu maisha na ustawi wa watu.