Huko Bagamoyo huko wamepigwa mpaka top layersHabari wakuu,naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni pori la serikali huko maeneo ya bagamoyo,hadi muda huu wananchi hao wamekwishajenga na ndipo imetoka kauli ya serikali kuwa wananchi wabomoe nyumba hizo kwa mikono yao wenyewe kabla serikali haijachukua hatua.
Mbaya zaidi viongozi wa kampuni iliyowauzia ardhi wametokomea kusikojulikana na bado wanasakwa.
Ninachojiuliza hadi watu wanauziwa maeneo hayo hadi inafika hiyo milioni 900 Wizara ya ardhi iko wapi?jeshi la polisi liko wapi?wale jamaa wa makumbusho ambao wakishalewa wanauliza unaniju mi ni nani wako wapi?je baadhi ya viongozi wakubwa wa serikali wanashiriki katika mipango ya aina hii?
Watumishi wa serikali na vyombo vya habari wanahusika na utapeli huu ambao unafanywa bila kificho kwa matangazo kwenye redio.Habari wakuu,naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni pori la serikali huko maeneo ya bagamoyo,hadi muda huu wananchi hao wamekwishajenga na ndipo imetoka kauli ya serikali kuwa wananchi wabomoe nyumba hizo kwa mikono yao wenyewe kabla serikali haijachukua hatua.
Mbaya zaidi viongozi wa kampuni iliyowauzia ardhi wametokomea kusikojulikana na bado wanasakwa.
Ninachojiuliza hadi watu wanauziwa maeneo hayo hadi inafika hiyo milioni 900 Wizara ya ardhi iko wapi?jeshi la polisi liko wapi?wale jamaa wa makumbusho ambao wakishalewa wanauliza unaniju mi ni nani wako wapi?je baadhi ya viongozi wakubwa wa serikali wanashiriki katika mipango ya aina hii?
Hao wanaotakiwa kuwafilisi nao ni wezi, ngoma ngumu hiyo!Ndo hapo wizara ya ardhi ijue ina watu wasiostahili kuwepo. Kama nakumbuka vizuri,kuna hotba aliwahi kutoa waziri mkuu,akiwataka watu kutonunua maeneo bila kushilikisha ngazi za uongozi wa juu,unaohusika na ardhi. Labda,hawa walikuwa wameshanunua. Ila sasa, ina maana kitengo hicho hakikupata malalamiko? Je,nchi hii, mtu anapoteleaje kusikojulikana! Mbona wakiamua kumtafuta tu ni masaa kadhaa wanae!
Harafu,kwa nini isitungwe sheria, ili tapeli au fisadi,ajue,ikibainika mali alizopata maelezo hayajitoshelezi, atafilisiwa. Sidhani kama wangeacha familia zao ziteseke.
Je,kama kiongozi,una raia aanyonge hivi, watakuelewa kweli? Je,swali la kujiuliza. Mtu hakuja na kuanza kuuza ardhi,lazima alishirikiana na watu. Itakuwaje watu hao hawajulikani walipo? Bila badhi ya watu kuwajibishwa,lazima mtindo ni huo huo.
Hiyo ni dhahiri wanashirikiana. Otherwise mtu anajenga Anavuta maji, umeme na huduma zingine za serikali hadi anamaliza serikali inaangalia tu.Habari wakuu,naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni pori la serikali huko maeneo ya bagamoyo,hadi muda huu wananchi hao wamekwishajenga na ndipo imetoka kauli ya serikali kuwa wananchi wabomoe nyumba hizo kwa mikono yao wenyewe kabla serikali haijachukua hatua.
Mbaya zaidi viongozi wa kampuni iliyowauzia ardhi wametokomea kusikojulikana na bado wanasakwa.
Ninachojiuliza hadi watu wanauziwa maeneo hayo hadi inafika hiyo milioni 900 Wizara ya ardhi iko wapi?jeshi la polisi liko wapi?wale jamaa wa makumbusho ambao wakishalewa wanauliza unaniju mi ni nani wako wapi?je baadhi ya viongozi wakubwa wa serikali wanashiriki katika mipango ya aina hii?
Ndiyo huko wanapatia pesa za kununua nyumba za 16B MasakiHiyo ni dhahiri wanashirikiana. Otherwise mtu anajenga Anavuta maji, umeme na huduma zingine za serikali hadi anamaliza serikali inaangalia tu.
Tena ni wezi zaidi ya hapoHao wanaotakiwa kuwafilisi nao ni wezi, ngoma ngumu hiyo!
Ndio 😂Mi nimenunua Kerege, je nimepigwa?
Af sasa,watu wanadai demokalasia. Kwamba,mbona nchi furani wao wana demokalasia. Unajiuliza,wao huu ujinga wa matapeli wanaukumbatia? Msemo wa msanii alieimba kwamba wezi wamekumbatiwa. Mtu aanzishe ofisi,awe na nyaraka zote,auze,siku ya kwanza,ya pili,ya tatu na kuendelea,bila kujua ni nani?! Halipo. Mihela yote hiyo,mtu katokomea,hajulikani yuko wapi.Hao wanaotakiwa kuwafilisi nao ni wezi, ngoma ngumu hiyo!
Kwa hiyo mkuu, hii imeenda siyo?